Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Pia ukubwa wa nchi na majirani. Israel inahitaji msaada kufika Iran..Israel population ni 9.5 mil. ..Iran population ni 88 mil.
Kitakachotokea kwasasa ni Israel kutumia Marekani kama kawaida. Marekani ina base zake Jordan, Saudi Arabia na Iraq. Tatizo ni kwamba Iraq hawataki Marekani, wanatak waondoke lakini pia katika mpaka na Israel kuna Shia wanaoweza kushambulia.
Haiwezi isipokuwa kwa msaada wa Marekani, EU na UK kama ilivyotokea leo..Israel haiwezi kupigania vita vya wazi na Iran.
Na Marekani itawasaidia kama ilivyosaidia Israel kumuua kamanda wa Iran Qassam Suleiman na Mtaalaam wa Nuklia. Kazi yote inafanywa na Marekani kwa kujificha nyuma ya kivuli cha Israel...Wanachoweza kufanya Israel dhidi ya Iran ni mashambulizi ya kuvizia ya hujuma.
Mashambulizi ya Marekani kwa Houth kule Yemeni yanasemwa kufanyika kutoka Texas, huo ni uongo
Shambulizi lilifanywa kutoka Israel lakini Marekani ilijificha ili kutochochea vita ya Gaza
Amethibitisha yanafika mahali popote kuanzia Haifa, Tel Aviv hadi Jerusalem. Hii ni disadvantage ya Israel kwasababu ni nchi ndogo. Makombora ya Iran ya leo ni SEJJIL inayoweza kufika KM 2500 umbali kupita Israel na Shahed...ktk tukio hili kila upande umemsoma mwenzake.
..wataalamu wa kijeshi wa Israel na Iran wote wamepata mafunzo kutokana na tukio hili.
..Iran alitaka kujua kama makombora yake yatafika Israel.
Lakini somo kubwa pia ni kwamba kama Israel inakabiliwa na changamoto ikipambana na Mataifa kama Iran...Israel nao walitaka kupima namna ambavyo mifumo yao ya ulinzi itakabiliana na makombora toka Iran.
Israel itawasikiliza Marekani na EU kuliko wakati mwingine kwasababu bila wao ingekuwa tabu