Unajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'
IDF spokesman Daniel Hagari amethibitisha kwamba wanakabiliana na mashambulizi kwa kushirikiana na 'PARTNER'
Inajulikana Partner ni Israel, TV za Marekani zimethibitisha
Pentagon imethibitisha kwamba '' central commander'' yupo Israel kusaidiana nao.
Defense secretary amesema fleet Carrier zingine zimeongezwa kusaidia Israel na sasa ipo Meditterenean
Uingereza na Ufaransa zinasaidia katika Intelligence na kijeshi.
PM Netanyahu mbele ya TV anashukuru nchi za magharibi ''allies'' kwa msaada hasa Marekani kwa kutoa silaha, pesa na usaidizi wa kijeshi, hakuna siri tena! Netanyahu anasema wazi
- Iron Dome
-David's Sling anti missile system
-Aero Missile defense system
Hizi ni silaha 'ultra modern' na ni Israel pekee iliyopewa zikiwemo F-15 Fighter pamoja na lile ''popo'
Hadi hapo ni wazi vita hii Israel yupo mgongoni hawezi kusimama na Iran peke yake
Miezi 6 tuliaminishwa wana MOSAD na Intelligence kali, hawajawapata mateka. Jana Hamas wamerusha makombora.
Ikumbukwe Iran ina vikwazo kwa zaidi ya miaka 20, ni dhaifu lakini wametengeneza drone zao na cruise missile.
Israel bila mgongo wa Marekani hakuna kitu,. In fact kinachoendelea ni vita ya Iran na nchi za Magharibi ndani ya Israel. Kwa bahati mbaya swengi hawawezi kufanya analysis au kuangalia mambo kwa jicho la weledi.
JokaKuu Pascal Mayalla