Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Na ndo wasiwasi wetu....Hizo mara nyingi huwa zina tumika kuiweka bize mifumo ya Ulinzi kabla ya makombora kuachiwa.
Jamaa wametiwa mapepe hatariy..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo wasiwasi wetu....Hizo mara nyingi huwa zina tumika kuiweka bize mifumo ya Ulinzi kabla ya makombora kuachiwa.
Wote wanategemeana,Israel ndo mtengeneza silaha mkubwa USA,Asante kwa kukubali hilo ,wenzako ukiwaambia hivyo wanataka kuku meza na wanasema eti Marekani ndo anaye itegemea Israel.
hamna drone mle ni takataka.Naona drone zote zimetunguliwa
Ushahidi uko wapi?Naona drone zote zimetunguliwa
Makombora yameshaanza kutua ndani ya Israel.Naona drone zote zimetunguliwa
Unajua hiyo ndege unayoisema imeruka saa hizi Jerusalem?...inaitwa DOOMSDAY unajua kazi ya hiyo ndege?
Nakuwekea hapa link
View: https://twitter.com/Goddie_Ke/status/1779260906473426994
Alafu google uone maana ya hiyo ndege
DOOMSDAY
Ni sahihi kuilaani magaidiEU, Uingereza, na nchi zingine eti zimeilaani Iran kwa shambulio lake hili kwa Israel!!!!
Hizi nchi zina unafiki sana.
Wakati huo hazikulilaani shambulizi la Israel dhidi ya ubalozi wa Iran.EU, Uingereza, na nchi zingine eti zimeilaani Iran kwa shambulio lake hili kwa Israel!!!!
Hizi nchi zina unafiki sana.
Kambi za jeshi la anga zipo zinateketea ww una hapa unafanya vichekesho?Yaani war cabinet ikimbie kisa hizo flash flash? Embu tujaribu kuwa serious japo kidgo bas mnaita aibu.
Ndo hapo sasa!Wakati huo hazikulilaani shambulizi la Israel dhidi ya ubalozi wa Iran.
Unajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'Ila kwa kweli bila Marekani, Israel hamna kitu kabisa. Ubabe wao wote ni kwa sababu wanajua Marekani itawapiga tafu.
Zimetunguliwa zote subr majib upande wa piliTulia dogo kamikaze drones zaid ya 100 zipo hewani saahizi zinaelekea Tel aviv subiri majibu. Hizo hazitunguliwi na kima yeyote .saahizi ndege ya Netanyahu imeondoka Jerusalem
Iran will regret this ww unatafta fair in battlefield Israel ndio elite in tech ambayo ni top in west and the whole world let's see how they respond don't you know that Iran is terrorist sponsor ni muhimu apunguzwe nguvuUnajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'
IDF spokesman Daniel Hagari amethibitisha kwamba wanakabiliana na mashambulizi kwa kushirikiana na 'PARTNER'
Inajulikana Partner ni Israel, TV za Marekani zimethibitisha
Pentagon imethibitisha kwamba '' central commander'' yupo Israel kusaidiana nao.
Defense secretary amesema fleet Carrier zingine zimeongezwa kusaidia Israel na sasa ipo Meditterenean
Uingereza na Ufaransa zinasaidia katika Intelligence na kijeshi.
PM Netanyahu mbele ya TV anashukuru nchi za magharibi ''allies'' kwa msaada hasa Marekani kwa kutoa silaha, pesa na usaidizi wa kijeshi, hakuna siri tena! Netanyahu anasema wazi
- Iron Dome
-David's Sling anti missile system
-Aero Missile defense system
Hizi ni silaha 'ultra modern' na ni Israel pekee iliyopewa zikiwemo F-15 Fighter pamoja na lile ''popo'
Hadi hapo ni wazi vita hii Israel yupo mgongoni hawezi kusimama na Iran peke yake
Miezi 6 tuliaminishwa wana MOSAD na Intelligence kali, hawajawapata mateka. Jana Hamas wamerusha makombora.
Ikumbukwe Iran ina vikwazo kwa zaidi ya miaka 20, ni dhaifu lakini wametengeneza drone zao na cruise missile.
Israel bila mgongo wa Marekani hakuna kitu,. In fact kinachoendelea ni vita ya Iran na nchi za Magharibi ndani ya Israel. Kwa bahati mbaya swengi hawawezi kufanya analysis au kuangalia mambo kwa jicho la weledi.
JokaKuu Pascal Mayalla
Kuna unafiki sana, tena Iran ilipeleka suala hili UN Security council, wakakataa kulaani leo nawasikia wanalaaniEU, Uingereza, na nchi zingine eti zimeilaani Iran kwa shambulio lake hili kwa Israel!!!!
Hizi nchi zina unafiki sana.
Anyezuia missile ni mmarekani. Hivi wewe huangalii habari? Pentagon, IDF wanasema wazi . Upo duniani ganiIran will regret this ww unatafta fair in battlefield Israel ndio elite in tech ambayo ni top in west and the whole world let's see how they respond don't you know that Iran is terrorist sponsor ni muhimu apunguzwe nguvu
Terrorist ni kitu gani? hebu defineIran will regret this ww unatafta fair in battlefield Israel ndio elite in tech ambayo ni top in west and the whole world let's see how they respond don't you know that Iran is terrorist sponsor ni muhimu apunguzwe nguvu
Tatizo lako ni kwamba unachukulia hili suala kiushabiki.mabom pekee iran anaweza kurusha ni yale yanayorushwa mtu akila mayai mengi ya kuchemshwa. hayo anaweza.(utani tu), unfortunately, ni kweli, iran wamesharusha ndege zisizo na rubani nyingi kweli kweli kuelekea israel, netanyahu na mawaziri wake wameanticipate kwamba zinaweza kufika israel kesho asubuhi, na wanazimonitor. pia anga la marekani inasemekana kuna madege yameshaanza kuja middle east kupiga sapoti myahudi. vita imeanza, dunia imeshachafuka tena, though tunajua huu ndio utakuwa mwisho wa iran. mark my words, "mwisho wa iran".
Iran haiwezi kushambuliwa na nchi za West isipokuwa kama itafanya makosa ya kimahesabu katika kushambulia targets.Anyezuia missile ni mmarekani. Hivi wewe huangalii habari? Pentagon, IDF wanasema wazi . Upo duniani gani
Hivi unajua Iron dome , David's sling na aero system zinatengenezwa wapi?
Commander anayeongoza vita Israel ni kutoka pentagon, unaishi dunia gani? Mbona wanasema wazi hili
Iran itashambuliwa na nchi za Magharibi, Israel bila mgongo wa EU, US na UK hakuna kitu.
By the way mwezi wa 6 wanapigana na wanamgambo ije iwe Iran! ni nchi za mgaharibu.