Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unahakika gani yote yamefika nawakati mpaka sahivi ardhi ya israel haijafikiwa na hizo drone mpaka sahivi..vipi kama yasingefika kabisa?
..vipi kama yangefika na kufanya uharibifu?
..ndio maana nikakwambia kila upande kuna kitu umejifunza.
Muda ukifika wa USA kuingilia moja kwa moja utayajua. Akiingilia kimya kimya pia utayajua. Kuwa na subira!Mfano mataifa gani? Hiii vita itapigwa kiakili sana
#prayforiran
Kama baada ya miaka takriban 2,000 wayahudi wamerudi kwenye nchi yao baada ya kutawanywa dunian hiyo inatosha kuonyesha hao si watu wa mchezo mchezo.Kuna jambo ambalo hamjui historia ya israel tokea mfalme saul mpaka sedekia haijawah kuwa nchi ya aman ni nchi inayopigana vita mda mwingi sana
Swala la israel kupigana vita halijaanza leo ni la historia
Naona Nyau kaukimbia mji😂 hao Israel kiburi wanatoa kwa Biden. Sass ngoja Biden ajipeleke Iran ili apigwe pumbu na mkorea😂Netanyau kakimbia nchi uko😂
Hawezi kuingia moja kwa moja, lazma ajifiche kwenye migomba ndio ashambulie Iran😂Muda ukifika wa USA kuingilia moja kwa moja utayajua. Akiingilia kimya kimya pia utayajua. Kuwa na subira!
Pray for Iran!? 😂😂😂😂
Pray for the WORLD!
"Israel will suffer much"........ Maneno ya unabii....Hii ni kitu watu wenye akili timamu waliitarajia. The response ni kitu ambayo tunaitarajia, then the second response from Iran. Then USA aingilie vita kuisaidia Israel, then Mataifa rafiki ya Iran yaingilie, wow tunabahatika kuishuhudia vita ya tatu ya dunia.
hatutak kusikia Pray for IranMliosema Iran haitarusha hata jiwe mpo wapiiiiiii
Unahakika gani yote yamefika nawakati mpaka sahivi ardhi ya israel haijafikiwa na hizo drone mpaka sahivi
Sadam mlisema hv hvhuruma gani wewe unadhani iran ni syria subiri uone kam israel ataruka anavyotaka kwenye anga la iran na figher jets zake
Wacha weeeeh!Iran will be destroyed in few months ahead, and that war will be easily carried out by eliminating Iranian top leaders then US will secretly put in place their leader like Iraq
Si mlisema Iran hawezi kurusha hata jiwe kwenye ardhi ya Wazayuni?Naionea huruma Iran kuliko Israel! Nawasikitikia wananchi wasio na hatia wa Iran!
watu kama nyinyi ndo mlikuwa mnasema kila maiti muionayo imeuliwa na Jiwe , watu mnapenda kuropoka bila ushaidi , hata Netanyau hujawai kumuona ila upo hawa kumsimulia kama mnaishi nyumba mojakwa akili yako kisoda hujui kama madege yale ya maraisi yana sehemu za kufanyia press conference netanyahu ameenda marekaani kubembeleza msaada acha uboyaa unaadhaani shambulio la iran ni sawa na hamasi
kule Ukraine atamwachia nan ? Russia aliamua kuwadivert West kwa kuwaletea mgogoro wa Israel na wao wameamua kumdivert kumletea hili la Iran , achague kufa na ukraine au syria au iran au afrika maana anasema alijipanga na vitaWacha weeeeh!
Russia atakuwa anamuangalia tu USA kipindi anafanya hiki unachokisema?
kwahio sahizi Israel ni Proxy wa USA😂Unajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'
IDF spokesman Daniel Hagari amethibitisha kwamba wanakabiliana na mashambulizi kwa kushirikiana na 'PARTNER'
Inajulikana Partner ni Israel, TV za Marekani zimethibitisha
Pentagon imethibitisha kwamba '' central commander'' yupo Israel kusaidiana nao.
Defense secretary amesema fleet Carrier zingine zimeongezwa kusaidia Israel na sasa ipo Meditterenean
Uingereza na Ufaransa zinasaidia katika Intelligence na kijeshi.
PM Netanyahu mbele ya TV anashukuru nchi za magharibi ''allies'' kwa msaada hasa Marekani kwa kutoa silaha, pesa na usaidizi wa kijeshi, hakuna siri tena! Netanyahu anasema wazi
- Iron Dome
-David's Sling anti missile system
-Aero Missile defense system
Hizi ni silaha 'ultra modern' na ni Israel pekee iliyopewa zikiwemo F-15 Fighter pamoja na lile ''popo'
Hadi hapo ni wazi vita hii Israel yupo mgongoni hawezi kusimama na Iran peke yake
Miezi 6 tuliaminishwa wana MOSAD na Intelligence kali, hawajawapata mateka. Jana Hamas wamerusha makombora.
Ikumbukwe Iran ina vikwazo kwa zaidi ya miaka 20, ni dhaifu lakini wametengeneza drone zao na cruise missile.
Israel bila mgongo wa Marekani hakuna kitu,. In fact kinachoendelea ni vita ya Iran na nchi za Magharibi ndani ya Israel. Kwa bahati mbaya swengi hawawezi kufanya analysis au kuangalia mambo kwa jicho la weledi.
JokaKuu Pascal Mayalla
hakuna mwisho wa uajemi! israel mpaka atarudi mezani na yeye! kumbuka urusi yupo nyuma ya Iranmabom pekee iran anaweza kurusha ni yale yanayorushwa mtu akila mayai mengi ya kuchemshwa. hayo anaweza.(utani tu), unfortunately, ni kweli, iran wamesharusha ndege zisizo na rubani nyingi kweli kweli kuelekea israel, netanyahu na mawaziri wake wameanticipate kwamba zinaweza kufika israel kesho asubuhi, na wanazimonitor. pia anga la marekani inasemekana kuna madege yameshaanza kuja middle east kupiga sapoti myahudi. vita imeanza, dunia imeshachafuka tena, though tunajua huu ndio utakuwa mwisho wa iran. mark my words, "mwisho wa iran".
Angalia Al Jazeera muda huu makombora na drones zimetua ndani ya Israel.Unahakika gani yote yamefika nawakati mpaka sahivi ardhi ya israel haijafikiwa na hizo drone mpaka sahivi
hatutak kuja kusikia Pray for Iranwewe bata si mlisema iran hata jibu tulieni hivo hivo kama panya kwenye mahandaki
ttzo huwa mnasahau kuwa Israel anapigana na zaid ya mataifa 5 ila mnataka Israel apigane pekee yake , hapo unasiki yupo Yemen + Iran + Gaza + Lebanon + IraqIla kwa kweli bila Marekani, Israel hamna kitu kabisa. Ubabe wao wote ni kwa sababu wanajua Marekani itawapiga tafu.
Umesahsu palestina, Gaza na Hourth wanaishambulia Israel .Unajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'