Iran yaishambulia Israel kwa makombora
Kuna jambo ambalo hamjui historia ya israel tokea mfalme saul mpaka sedekia haijawah kuwa nchi ya aman ni nchi inayopigana vita mda mwingi sana

Swala la israel kupigana vita halijaanza leo ni la historia
Kama baada ya miaka takriban 2,000 wayahudi wamerudi kwenye nchi yao baada ya kutawanywa dunian hiyo inatosha kuonyesha hao si watu wa mchezo mchezo.
 
Muda ukifika wa USA kuingilia moja kwa moja utayajua. Akiingilia kimya kimya pia utayajua. Kuwa na subira!
Pray for Iran!? 😂😂😂😂
Pray for the WORLD!
Hawezi kuingia moja kwa moja, lazma ajifiche kwenye migomba ndio ashambulie Iran😂
 
Hii ni kitu watu wenye akili timamu waliitarajia. The response ni kitu ambayo tunaitarajia, then the second response from Iran. Then USA aingilie vita kuisaidia Israel, then Mataifa rafiki ya Iran yaingilie, wow tunabahatika kuishuhudia vita ya tatu ya dunia.
"Israel will suffer much"........ Maneno ya unabii....
Ndiyo mwanzo wa waarabu Kuamka na kuungana.
 
Unahakika gani yote yamefika nawakati mpaka sahivi ardhi ya israel haijafikiwa na hizo drone mpaka sahivi

..yaliyofika na ambayo hayakufika yote yana faida kwa Iran.

..Na yaliyofika na kudunguliwa ni faida kwa Israel.

..kila upande umejua strength na weakness zao na za maadui zao.
 
kwa akili yako kisoda hujui kama madege yale ya maraisi yana sehemu za kufanyia press conference netanyahu ameenda marekaani kubembeleza msaada acha uboyaa unaadhaani shambulio la iran ni sawa na hamasi
watu kama nyinyi ndo mlikuwa mnasema kila maiti muionayo imeuliwa na Jiwe , watu mnapenda kuropoka bila ushaidi , hata Netanyau hujawai kumuona ila upo hawa kumsimulia kama mnaishi nyumba moja
 
Wacha weeeeh!
Russia atakuwa anamuangalia tu USA kipindi anafanya hiki unachokisema?
kule Ukraine atamwachia nan ? Russia aliamua kuwadivert West kwa kuwaletea mgogoro wa Israel na wao wameamua kumdivert kumletea hili la Iran , achague kufa na ukraine au syria au iran au afrika maana anasema alijipanga na vita
 
Unajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'

IDF spokesman Daniel Hagari amethibitisha kwamba wanakabiliana na mashambulizi kwa kushirikiana na 'PARTNER'
Inajulikana Partner ni Israel, TV za Marekani zimethibitisha

Pentagon imethibitisha kwamba '' central commander'' yupo Israel kusaidiana nao.

Defense secretary amesema fleet Carrier zingine zimeongezwa kusaidia Israel na sasa ipo Meditterenean

Uingereza na Ufaransa zinasaidia katika Intelligence na kijeshi.

PM Netanyahu mbele ya TV anashukuru nchi za magharibi ''allies'' kwa msaada hasa Marekani kwa kutoa silaha, pesa na usaidizi wa kijeshi, hakuna siri tena! Netanyahu anasema wazi
- Iron Dome
-David's Sling anti missile system
-Aero Missile defense system

Hizi ni silaha 'ultra modern' na ni Israel pekee iliyopewa zikiwemo F-15 Fighter pamoja na lile ''popo'

Hadi hapo ni wazi vita hii Israel yupo mgongoni hawezi kusimama na Iran peke yake

Miezi 6 tuliaminishwa wana MOSAD na Intelligence kali, hawajawapata mateka. Jana Hamas wamerusha makombora.

Ikumbukwe Iran ina vikwazo kwa zaidi ya miaka 20, ni dhaifu lakini wametengeneza drone zao na cruise missile.

Israel bila mgongo wa Marekani hakuna kitu,. In fact kinachoendelea ni vita ya Iran na nchi za Magharibi ndani ya Israel. Kwa bahati mbaya swengi hawawezi kufanya analysis au kuangalia mambo kwa jicho la weledi.

JokaKuu Pascal Mayalla
kwahio sahizi Israel ni Proxy wa USA😂
 
mabom pekee iran anaweza kurusha ni yale yanayorushwa mtu akila mayai mengi ya kuchemshwa. hayo anaweza.(utani tu), unfortunately, ni kweli, iran wamesharusha ndege zisizo na rubani nyingi kweli kweli kuelekea israel, netanyahu na mawaziri wake wameanticipate kwamba zinaweza kufika israel kesho asubuhi, na wanazimonitor. pia anga la marekani inasemekana kuna madege yameshaanza kuja middle east kupiga sapoti myahudi. vita imeanza, dunia imeshachafuka tena, though tunajua huu ndio utakuwa mwisho wa iran. mark my words, "mwisho wa iran".
hakuna mwisho wa uajemi! israel mpaka atarudi mezani na yeye! kumbuka urusi yupo nyuma ya Iran
 
Unajua watu wengi wanaangalia haya mambo kwa jicho la 'ushabiki'

IDF spokesman Daniel Hagari amethibitisha kwamba wanakabiliana na mashambulizi kwa kushirikiana na 'PARTNER'
Inajulikana Partner ni Israel, TV za Marekani zimethibitisha

Pentagon imethibitisha kwamba '' central commander'' yupo Israel kusaidiana nao.

Defense secretary amesema fleet Carrier zingine zimeongezwa kusaidia Israel na sasa ipo Meditterenean

Uingereza na Ufaransa zinasaidia katika Intelligence na kijeshi.

PM Netanyahu mbele ya TV anashukuru nchi za magharibi ''allies'' kwa msaada hasa Marekani kwa kutoa silaha, pesa na usaidizi wa kijeshi, hakuna siri tena! Netanyahu anasema wazi
- Iron Dome
-David's Sling anti missile system
-Aero Missile defense system

Hizi ni silaha 'ultra modern' na ni Israel pekee iliyopewa zikiwemo F-15 Fighter pamoja na lile ''popo'

Hadi hapo ni wazi vita hii Israel yupo mgongoni hawezi kusimama na Iran peke yake

Miezi 6 tuliaminishwa wana MOSAD na Intelligence kali, hawajawapata mateka. Jana Hamas wamerusha makombora.

Ikumbukwe Iran ina vikwazo kwa zaidi ya miaka 20, ni dhaifu lakini wametengeneza drone zao na cruise missile.

Israel bila mgongo wa Marekani hakuna kitu,. In fact kinachoendelea ni vita ya Iran na nchi za Magharibi ndani ya Israel. Kwa bahati mbaya swengi hawawezi kufanya analysis au kuangalia mambo kwa jicho la weledi.

JokaKuu Pascal Mayalla
Umesahsu palestina, Gaza na Hourth wanaishambulia Israel .

Wangekuja na wao mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom