Iran yaishambulia Israel kwa makombora
Ujasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.
Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.
Baada ya mashambulio ya jana mpaka kwenye kambi za jeshi za Tel Aviv,Iran imesema mpaka hapo imefunga ukurasa wake wa mwanzo wa vita.Inasubiri iwapo Israel itajibu na wao waendeleze ukurasa mwengine mpana zaidi
Tulikua tunasubiri tule pilau na nyamwa ya ngamia
 
Attachments

  • IMG_20240414_085153.jpg
    IMG_20240414_085153.jpg
    87.7 KB · Views: 2
Wapigane watajua wenyewe, wasiotaka vita waje Africa, tupige pesa kwenye utalii
 
Ujasiri wa Iran umeifanya Israel inywee kiaina tofauti na wengi tulivyotaraji kuwa ikipigwa kweli na Iran itarusha mvua ya makombora Tehran papo kwa papo.
Kitisho cha vita vikubwa zaidi kiko wazi baada ya Iran kuiambia Marekani ikae mbali katika vita vyake na Israel.
Baada ya mashambulio ya jana mpaka kwenye kambi za jeshi za Tel Aviv,Iran imesema mpaka hapo imefunga ukurasa wake wa mwanzo wa vita.Inasubiri iwapo Israel itajibu na wao waendeleze ukurasa mwengine mpana zaidi
Subiri mtakapoanza kununua mafuta 20,000/- kwa lita ndo mtaelewa.............
 
Back
Top Bottom