Iran YAISHAMBULIA kwa makombora Umoja wa Falme za Kiarabu muda huu

Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE.

The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were intercepted and one fell into the sea.
Tatizo nini tena?
 
Kwani Iran ana shida gani na UAE? Maana ukilinganisha makombora yaliyorushwa kwanzia Vita vimeanza mengi ni yameenda UAE kutokea IRAN. yaani hata ISRAEL hajapigwa makombora mengi kama yaliyopigwa IRAN

wivu unawasumbua
 
Zinashambuliwa kambi za Jeshi za USA, kwasababu USA akitaka kumgonga IRAN hamgongi kutoka USA anatumia kambi za karibu
 
Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE.

The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were intercepted and one fell into the sea.
Three were intercepted and one fell into the sea!.
Hakuna shambulizi hapo, au sio Iran iliyoshambulia!.kuna wengine wanaofanya majaribio ya makombora yao!.
 
Kunywa maji ya limao ulale
"Huu ni uchokozi ujibiwe kwa nguvu zote"
20260423_220609.jpg
 
Back
Top Bottom