Iran YAISHAMBULIA kwa makombora Umoja wa Falme za Kiarabu muda huu

Iran YAISHAMBULIA kwa makombora Umoja wa Falme za Kiarabu muda huu

Iran anadai aliye shambulia UAE ni USA hawa USA hata Saud Arabia walipiga Aramco wao wakadai Iran pia walipiga matank ya mafuta kuke Oman wakadai Iran ni wajinga tu ndio wanao muamini USA na uwongo wake Uran kadai yeye alipiga warships za US tu
 
Kwani Iran ana shida gani na UAE? Maana ukilinganisha makombora yaliyorushwa kwanzia Vita vimeanza mengi ni yameenda UAE kutokea IRAN. yaani hata ISRAEL hajapigwa makombora mengi kama yaliyopigwa IRAN
Anafanya hivyo kwa ajili ya kuzivunja vunja bases zote za USA katika mataifa ya Arab
 
Back
Top Bottom