Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Tatizo nini tena?Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE.
The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were intercepted and one fell into the sea.
Safi sana, wao si wameamua kuwaunga mkono wazayun.Huu ni uchokozi, ujibiwe kwa nguvu zote
Kwani Iran ana shida gani na UAE? Maana ukilinganisha makombora yaliyorushwa kwanzia Vita vimeanza mengi ni yameenda UAE kutokea IRAN. yaani hata ISRAEL hajapigwa makombora mengi kama yaliyopigwa IRAN

Three were intercepted and one fell into the sea!.Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE.
The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were intercepted and one fell into the sea.
Israel akishambulia iran sio ugaidi ila anatimiza maandiko??Vipi kuhusu USA akishambulia Iran sio ugaidi ni super power??Ni kweli haujui kwanini iran anashambulia UAE??Iran Wana kila sifa za kigaidi
Wachana na makenge wanajitoa fahamuIsrael akishambulia iran sio ugaidi ila anatimiza maandiko??Vipi kuhusu USA akishambulia Iran sio ugaidi ni super power??Ni kweli haujui kwanini iran anashambulia UAE??
Kunywa maji ya limao ulaleHuu ni uchokozi, ujibiwe kwa nguvu zote
Kunywa maji ya limao ulaleIran Wana kila sifa za kigaidi
"Huu ni uchokozi ujibiwe kwa nguvu zote"Kunywa maji ya limao ulale
Hawa ng'ombe hawajui siasa za kimataifa zilivyo hivyo bora niwatukane tu"Huu ni uchokozi ujibiwe kwa nguvu zote"View attachment 3583911
Waache kwanza wapimane uwezo wao na kimo chao!!nipo ziarani kwenda kusuluhisha