Pwani na viunga vyake vyote, majini, uchawi na umaskini vinatamalaki.
Waache washupalie kichwa, na kuingizwa chaka kuwa Majini ni ndugu zao.
Ona hapa.
Abdullah bin Mas'ud narrated that :
Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
{hapo wanaitana kaka wa familia moja}
Na hapa.
Narrated Ibn `Abbas:
The Prophet (ﷺ) I prostrated while reciting An-Najm and with him prostrated the Muslims, the pagans, the jinns, and all human beings.
{Hii Sura ya An-Najm ndipo mtume alipokuwa akiwaabudu kwa kuwasujudia Binti za Allah pamoja na Majini kwa amri ya Ibris Shetani. Ona mtume anavyo wasifia}
Surah A-Najm Ayah 19
أَفَرَءَيۡتُمُ ٱللَّٰتَ وَٱلۡعُزَّىٰ
Je! Mmemuona Lata na Uzza?
20
وَمَنَوٰةَ ٱلثَّالِثَةَ ٱلۡأُخۡرَىٰٓ
Na Manaat, mwingine wa tatu?*
21
أَلَكُمُ ٱلذَّكَرُ وَلَهُ ٱلۡأُنثَىٰ
Je! Nyinyi mnao wana wanaume na Yeye ndio awe na wanawake?
{Hao wamesha unganishwa na majini.
Wanaswali na kiishi nao kama familia moja.
Ndo maana wanawatetea usiku na mchana.
Ukiwauliza hao ndugu zenu wa Kijini wanawasaidia nini?
Hawana majibu}
{Huku sisi tunaona wazi kabisa majini yakiwatesa kwa umaskini, urozi, magonjwa, vifo na uchawi na mateso ya kila aina.
Tukiwaambia huyo mtume wenu kawaingiza kwenye dini ya majini kwa hila ya Ibris, tunaambiwa tuna chuki.
Waache wateseke}
Kama kuna mwenye ubavu wa kukanusha hapa aje akanushe kwa maandiko.
Tuna wasaidieni kwa Upendo ili kuwatoa kwenye mtego mbaya wa Ibris hamsikii. Shauli Lenu.