ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
NATO kila siku vikao kuhusu Urusi, wamepeleka silaha mpaka zinaisha, Ukraine wamechanganyikiwa mpaka WC wanataka wazungumze, sema FIFA kawapiga stop, sasa nani anaangaika? Vikwazo mlivyo muwekea Urusi vinafika hata elfu 3000, Urusi ni mwamba sanaaaAnayehangaika ni huyo Urusi, jeshi lake limefyekwa na kataifa kadogo hadi ameishia kufuata wafungwa kwenye jela.