Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu

Sawa pambana nao sasa tuone nani atakua mshindi.

#MaendeleoHayanaChama
Mshindi ni Iran, ndio maana kutwa US na Israel wanaangaika lakini wapi, leo hii Russian anapata msaada wa silaha muhimu kutoka Iran, hapa ndio unatakiwa ufahamu kuwa Iran sio Zimbabwe
 
Najikuta nacheka hapa, Urusi niliyoijua miaka yote leo inaomba msaada wa silaha kisa kainchi kadogo...kweli maustadhi mliingia cha kike kwa kuishabikia Urusi.
 
Sasa ulitaka Urusi asiombe msaada !!! wakati Ulaya na US wote kwa ujumla wao wameamisha silaha zao Ukraine , yaani mpaka maghala ya Silaha yanaishiwa silaha ulaya halafu unashangaa Urusi kuomba kwa Iran
 
Maustadhi huwa mko obsessed sana na ushoga, kuna mataifa yanatusua bila ushoga, kama vile China, ila hiyo dini imeilemaza Iran licha ya wao kuwa na akili nyingi, na ndio maana China ilikatalia hiyo dini yenu na kutupa kule., ni dini ambayo inawafanya watu wanakua kama mazombi kabisa, kazi kuvaa makanzu na mindevu
Iran ipo imara siku zote, shida yenu mnateseka baada ya Iran kukataa kuwa kibaraka wenu nyie Us na Israel, na bahati nzuri Iran anaweza kuishi na kuendelea bila Us wala Israel
 
Sasa ulitaka Urusi asiombe msaada !!! wakati Ulaya na US wote kwa ujumla wao wameamisha silaha zao Ukraine , yaani mpaka maghala ya Silaha yanaishiwa silaha ulaya halafu unashangaa Urusi kuomba kwa Iran

Mwambieni huyo Urusi akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO ndio utaelewa nini maana ya kushukiwa na hayo mataifa, kwa sasa hivi hajafanywa chochote, mzigo wa HIMARS umetumwa pale ukamtetemesha mpaka akaishiwa.
Juzi kombora la Ukraine liligusa Poland, Urusi akawa wa kwanza kulia lia kwamba anambabikiziwa, maana anajua muziki wa NATO hatopona, wanamtamani sana hao NATO.
 
Iran ipo imara siku zote, shida yenu mnateseka baada ya Iran kukataa kuwa kibaraka wenu nyie Us na Israel, na bahati nzuri Iran anaweza kuishi na kuendelea bila Us wala Israel

Iran hii moja ambayo hulizwa na kataifa kadogo kama Israel ambapo kenyewe kadogo kiasi cha kutoshana na Arusha.
Iran ni watu wenye akili, kilichowaponza ni kuingia mkenge wa dini ya waarabu, maana hiyo dini hulemaza watu ubongo na kuwa kama mazombi.
 
Israel bila baba yake US si chochote, kwahiyo yeyote anae pambana na Israel jua kuwa anapambana na US, kwahiyo acha kutoa mifano ambayo haina mantiki ,Iran akili wanayo tena nzuri tu ndio maana mpaka leo Israel na US wana muota, Iran ni kidume hayumbishwi ndio maana hata ameweza kuwapa Russia silaha halafu hakuna tatizo , vikwazo vyote lakini bado Iran anatakata
 
Mwambieni huyo Urusi akosee njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO ndio utaelewa nini maana ya kushukiwa na hayo mataifa, kwa sasa hivi hajafanywa chochote, mzigo wa HIMARS umetumwa pale ukamtetemesha mpaka akaishiwa.
Juzi kombora la Ukraine liligusa Poland, Urusi akawa wa kwanza kulia lia kwamba anambabikiziwa, maana anajua muziki wa NATO hatopona, wanamtamani sana hao NATO.
Urusi ni mwanaume kweli kweli, maghala ya silaha ulaya yanaisha huko, watu wanaandamana Ulaya gharama za maisha sababu ni huyu huyu Urusi, kiufupi Urusi anapambana na US na ulaya yote, unataka aguse nchi gani wakati wote wanapatikana uwanja wa kivita Ukraine
 
Sasa hivi ameishiwa hadi anatumia wafungwa hadi kuna Waafrika wamefia huko....
 
Israel bila baba yake US si chochote, kwahiyo yeyote anae pambana na Israel jua kuwa anapambana na US, kwahiyo acha kutoa mifano ambayo haina mantiki ,Iran akili wanayo tena nzuri tu ndio maana mpaka leo Israel na US wana muota, Iran ni kidume hayumbishwi ndio maana hata ameweza kuwapa Russia silaha halafu hakuna tatizo , vikwazo vyote lakini bado Iran anatakata

Isaeli aliwahi kupiga mataifa sita ya maustadhi kama wewe, na leo yeye ndio komesha wa waarabu wote wakiwemo hata waajemi hao Iran, kainchi kadogo saizi ya Arusha.
 
Aliwapiga wanyonge sio Iran, waajemi walishafanya Israel watumwa wao miaka kibao, Israel akisikia Iran anakuwa na hofu kubwa, Iran ana akili nyingi, anajiweza, sio kibaraka yule wa US, pamoja na vikwazo vyote Iran inasonga mbele
 
Sasa hivi ameishiwa hadi anatumia wafungwa hadi kuna Waafrika wamefia huko....
Mbona hadi wa Taiwani wanakufa vitani kama wanajeshi wa Ukraine? Urusi anapigana na US pamoja na Ulaya, ila uwanja wa vita ni Ukraine, huu ndio ukweli
 
Aliwapiga wanyonge sio Iran, waajemi walishafanya Israel watumwa wao miaka kibao, Israel akisikia Iran anakuwa na hofu kubwa, Iran ana akili nyingi, anajiweza, sio kibaraka yule wa US, pamoja na vikwazo vyote Iran inasonga mbele

Aliwapiga waarabu wenye dini yao, ila waajemi alishawapiga kwenye vita vya baridi vya kila aina, na pia alishasema siku Iran ikitangaza ina nyuklia, ataipiga.....kainchi kadogo ila kababaisha mataifa yote uarabuni.
 
Nimekwambia Israel atasumbua wale Waarabu sio Muajemi, Iran ni mwamba hayumbishwi na kelele za chura
 
Mbona hadi wa Taiwani wanakufa vitani kama wanajeshi wa Ukraine? Urusi anapigana na US pamoja na Ulaya, ila uwanja wa vita ni Ukraine, huu ndio ukweli

Nilikuambia huyo Urusi ajaribu uchokozi kwa kataifa ka NATO uone atakavyofutwa, amedhihirisha alivyo dhaifu kwa kushindwa na kainchi kadogo Ukraine.
 
Nimekwambia Israel atasumbua wale Waarabu sio Muajemi, Iran ni mwamba hayumbishwi na kelele za chura

Muajemi angekua mtu wa maana kama sio dini imemlemaza, sasa hivi wote yaani waarabu na waajemi hawana lolote mbele ya Israel kainchi kadogo saizi ya Arusha.
 
Nilikuambia huyo Urusi ajaribu uchokozi kwa kataifa ka NATO uone atakavyofutwa, amedhihirisha alivyo dhaifu kwa kushindwa na kainchi kadogo Ukraine.
Uchokozi gani wakati NATO kila kikao siku hizi ni kuhusu Urusi, wako busy na Urusi kuliko mambo yao, Urusi ameleta njaa Ulaya na hawana cha kufanya
 
Amezoea kunyanyasa majirani zake ila huepuka kama kaa la moto kataifa kokote ka NATO...
 
Sasa Kati ya Urusi na NATO nani anangaika? wameweka vikwaza, wanatuma silaha na raia zao, hii yote ya nini si wamvamie Urusi wampige, jibu ni kwamba wanamuogopa
 
Anayehangaika ni huyo Urusi, jeshi lake limefyekwa na kataifa kadogo hadi ameishia kufuata wafungwa kwenye jela.
 
Back
Top Bottom