ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
NATO kila siku vikao kuhusu Urusi, wamepeleka silaha mpaka zinaisha, Ukraine wamechanganyikiwa mpaka WC wanataka wazungumze, sema FIFA kawapiga stop, sasa nani anaangaika? Vikwazo mlivyo muwekea Urusi vinafika hata elfu 3000, Urusi ni mwamba sanaaaAnayehangaika ni huyo Urusi, jeshi lake limefyekwa na kataifa kadogo hadi ameishia kufuata wafungwa kwenye jela.
NATO kila siku vikao kuhusu Urusi, wamepeleka silaha mpaka zinaisha, Ukraine wamechanganyikiwa mpaka WC wanataka wazungumze, sema FIFA kawapiga stop, sasa nani anaangaika? Vikwazo mlivyo muwekea Urusi vinafika hata elfu 3000, Urusi ni mwamba sanaaa
Silaha chache wakati wenyewe wanasema zinakwisha kwenye maghala yao!! sasa hivi Ukraine ameomba silaha hata wenyewe ulaya kwa ujumla wao hawana, huyu ndio Putin anapiga Ulaya na US kwenye viwanja vya UkraineSilaha chache walizopeleka zimemliza Urusi.
Mrusi kaishiwa pumzi kisa HIMARS, kuna madubwana zaidi ya himars hayajapelekwa.
Yote Tisa ,kumi ushindi mkubwa kwa Ukraine ni kuigeuza operation ya saa 72 kuwa vita ya muda mrefu.., mpaka Sasa Putin haamini anachokiona.., alifikiri mikwara yake itamsaidia lakini ndio kwanza wanaume wanazidi kumdindishia,Silaha chache wakati wenyewe wanasema zinakwisha kwenye maghala yao!! sasa hivi Ukraine ameomba silaha hata wenyewe ulaya kwa ujumla wao hawana, huyu ndio Putin anapiga Ulaya na US kwenye viwanja vya Ukraine
Putin anakwenda kumaliza maghala ya silaha kule Ulaya, Putin ni kidume ulaya yote na US wameweka vikwazo, cha ajabu ulaya ndio wanaandamana maisha magumu ๐๐๐๐Yote Tisa ,kumi ushindi mkubwa kwa Ukraine ni kuigeuza operation ya saa 72 kuwa vita ya muda mrefu.., mpaka Sasa Putin haamini anachokiona.., alifikiri mikwara yake itamsaidia lakini ndio kwanza wanaume wanazidi kumdindishia,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama maghala ya silaha ulaya yaisha basi russia itakuwa yanakauka.Urusi ni mwanaume kweli kweli, maghala ya silaha ulaya yanaisha huko, watu wanaandamana Ulaya gharama za maisha sababu ni huyu huyu Urusi, kiufupi Urusi anapambana na US na ulaya yote, unataka aguse nchi gani wakati wote wanapatikana uwanja wa kivita Ukraine
Na bado ataendelea kuwachapa.Aliwapiga waarabu wenye dini yao, ila waajemi alishawapiga kwenye vita vya baridi vya kila aina, na pia alishasema siku Iran ikitangaza ina nyuklia, ataipiga.....kainchi kadogo ila kababaisha mataifa yote uarabuni.
Wamesema wenyewe hali ni mbaya, silaha zote zinakwenda Ukraine , cha ajabu vikwazo kapigwa Urusi halafu maisha magumu na maandamano yako UlayaKama maghala ya silaha ulaya yaisha basi russia itakuwa yanakauka.
Silaha chache wakati wenyewe wanasema zinakwisha kwenye maghala yao!! sasa hivi Ukraine ameomba silaha hata wenyewe ulaya kwa ujumla wao hawana, huyu ndio Putin anapiga Ulaya na US kwenye viwanja vya Ukraine
Himars vip wakati mpaka sasa maghala yana kwisha, halafu juzi Zelensky ameomba silaha ambazo hata ulaya wakiungana hawana, hii ndio kuchanganyikiwaHIMARS ndio kifaa kilichowamaliza Warusi mpaka ameenda kufuata wapiganaji gerezani na mitaani, ukizingatia kuna silaha nyingine zaidi ya hiyo HIMARS, naishia kumhurumia Mrusi.
Himars vip wakati mpaka sasa maghala yana kwisha, halafu juzi Zelensky ameomba silaha ambazo hata ulaya wakiungana hawana, hii ndio kuchanganyikiwa
Chache maana yake nini wakati wenyewe wanakwambia wameyumba๐๐๐, watu wanandamana maisha magumu ulaya huko pesa inakwenda UkraineHalafu zilizotumwa ni chache tu na mpaka sasa Mrusi hajawahi kupiga HIMARS hata moja......hehehehe
Chache maana yake nini wakati wenyewe wanakwambia wameyumba๐๐๐, watu wanandamana maisha magumu ulaya huko pesa inakwenda Ukraine
Himars wakati wenzako wana hali mbaya๐๐๐๐Marekani akiongeza HIMARS hata kumi tu, ngoma inaisha, maana hizo chache zimemlemaza Mrusi, alishindwa kupiga hata moja, na sasa anahangaika kuomba misaada Iran na hata kwa wafungwa.
Himars wakati wenzako wana hali mbaya๐๐๐๐
Wewe endelea kujizima data baada ya US sasa hawa hapa EUMpaka kuna wimbo umetungwa kwa ajili ya HIMARS, hebu subiri nikutafutie, huwa nshangaa kwanini Mrusi hakua anazijua mpaka zimtese kihivi, ameishiwa na wanajeshi hadi anafuata wanywa gongo.
Wewe endelea kujizima data baada ya US sasa hawa hapa EU
Ulaya wanahaha, US anahaha, unafikiri Urusi ni Zimbabwe, cha kufurahisha vikwazo kawekewa Urusi maandamano ya njaa kali yapo UKKwa kweli Mrusi angesumbua kama ingetegemewa silaha za kawaida, alianza kwa jeuri sana, ila HIMARS zimefyeka wanajeshi wake wote, ameishia kufuata wanywa gongo....takbir akbar akbar
Ulaya wanahaha, US anahaha, unafikiri Urusi ni Zimbabwe, cha kufurahisha vikwazo kawekewa Urusi maandamano ya njaa kali yapo UK
Pole sana HIMARS hazina kazi kwasasa, Ukraine ameomba silaha ambazo hata EU wenyewe hawana kwa wingi wake, sasa sijui watazitoa wapi?UK watu wanataka mishahara iongezeke wanaambiwa wakulaumiwa ni Putin , serikali haina pesa zinakwenda Ukraine, huyu sasa ndio Urusi ametikisa Ulaya na US kwa ujumla waoUrusi ameishiwa mpaka analazimika kufanya usaili jeshini kwa kufuata wanywa gongo na wafungwa, jeshi late limefyekwa lote, yote hiyo kwa kazi ya HIMARS chache tu, kuna madubwana zaidi ya HIMARS hayajapelekwa.