Iran Yajiandaa na Operation True Promise 3 kutekelezwa kabla ya Tarehe 5 November. Vyombo vya habari Nchini Israel vimeripoti

Acha wanyukane tuone ni yupi mbabe...
 
Israel wanachobugi kwa Iran ni kumheshimu Ayatollah.

Wangelimuweka kwenye orodha kama walivyomfanya Nasrallah ili ahamishiwe shimoni akafichwe humo na baadaye wamuue.

Bila ya kumuua Ayatollah, malipizi ya show off yataendelea.
Na ukimuua Ayatollah utaamsha vita ya jihad ya kishia hapo mashariki ya kati.
Hiyo Israel itavamiwa hutoamini.
Usicheze na kiongozi wa shia hata mara moja.
 
Mbona nasikia wanataka kurushia makombora katika ardhi ya Iraq ili wasionekane ni wao.. maana Nyumba yao ni ya Kioo kisije kikapasuka
Iran Hana uoga wa kitoto kiasi kiasi hicho. Kwani akirushia Iraq Israel na marekani wao ni wajinga kiasi gani wasijuwe aliyerusha ni Iran?
 
Mashujaa wa irani wameacha kupigana; Wanakaa katika ngome zao; Ushujaa wao umewapungukia; Wamekuwa kama wanawake; Makao yake yameteketea; Makomeo yake yamevunjika.
 
Nchini kwao wapi wewe kabla ya mwaka 48 hakukua na nchi ilokua yaitwa israhell
 
Mkiambiwa kama hamuna akili hua mwakasirika ila ndio ukweli wenyewe ulivyo ukiulizwa rais wa Iran aliuliwa kwa nini huna hoja wewe mzayuni wa jf tulia tuuuu


🇮🇱❌🇮🇷 — Shin Bet announces the dismantling of a new Iranian spy network inside Israel consisting of two Israelis living in Lod, one of them was spying on an atomic scientist.
 
Mbona nasikia wanataka kurushia makombora katika ardhi ya Iraq ili wasionekane ni wao.. maana Nyumba yao ni ya Kioo kisije kikapasuka
Kama ambavyo zayuni karushia videge vyake tokea Iraq
 
Sasa wakibamizwa ngumu ya uso wakazimishwa mazima, itakuwaje? Kujiamini mno nako ni majanga tupu.
Hizi ni mbinu tu za kivita. Unamsubiri mtu akupige kwa nguvu ili upate sababu ya kutumia nguvu zaidi. Sasa hivi wakienda full force wataambiwa wamezidisha nguvu, ila retaliation inawapa mwavuli wa kutumia nguvu zaidi bila lawama kutoka kwa jumuiya ya kimataifa.
 
Mashujaa wa irani wameacha kupigana; Wanakaa katika ngome zao; Ushujaa wao umewapungukia; Wamekuwa kama wanawake; Makao yake yameteketea; Makomeo yake yamevunjika.
Ona huyu anavyoropoka!
Hivi unajua kuwa makamanda wa Iran wapo Lebanon wakiisaidia Hizbollah dhidi ya Israel!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…