Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi bado hawajashambulia Israel 🇮🇱 taifa teule hao wavaa vipedo?Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Israel na Iran vimeripoti hii Leo kuwa Iran inajiandaa kuishambulia Israel kwa
makombora ya ballistic. Imeelezwa kuwa hii Leo Iran imehamisha makombora yake kuelekea magharibi mwa Iran kwaajili ya maandalizi ya kujibu mashambulio dhidi ya Israeli.
Itakumbukwa tangu majibizano baina ya Israel na Iran kuanza baada ya kifo cha Ismail Haniye Iran imekuwa ikitekeleza Operation True Promise 1, ikaja Operation True Promise 2 na sasa unakuja Operation True Promise 3 ambayo inatajwa kuwa itakua kubwa kuliko zote zilizopita na itatekelezwa kabla ya Tarehe 5.
Binafsi nadhani kuanzia kesho usiku mpaka jumamosi tutaona moto ukiwaka TelAviv na maeneo mengine.
View attachment 3140014View attachment 3140015
Hawana uwezo wa kumpiga Israel soon Ayatollah atalambishwa mchangaKwa Iran Huwa siyo ombi ni amri lazima mtu apigwe jiandae kushuhudia kama ulivyoshuhudia Oktoba 1