Iran Yajiandaa na Operation True Promise 3 kutekelezwa kabla ya Tarehe 5 November. Vyombo vya habari Nchini Israel vimeripoti

Hivi israel haiwezi kuyalipua kabla hawajayafyatua? Au intelijensia haifiki mahali yalipo hayo makombora?
Kwanini wafanye hivyo wakatibwao ni hatari kwa sanyansi kwanini wafanye uoga ? Kwani mitambo yao ya iron dome imeshindwa ?
 
Wakiririgiswa mnatia huruma 😁😁😁
Sisi ndio tunamshangaa mbabe wenu anajificha chini ya mitaro ya kupitisha mavi, yote eti anamuogopa Iran. Huna habari wewe mtoto wake alikuwa aowe hii week, kamua ku cancel kwa kumuogopa Hezbullah 😄
 
Kuna nyingine genge la udukuzi la Iran kuwadukua askari zaidi ya 30k wa israel
 
Kwanini wafanye hivyo wakatibwao ni hatari kwa sanyansi kwanini wafanye uoga ? Kwani mitambo yao ya iron dome imeshindwa ?
😂😂😂😂😂😂😂Iron dome kwani iliwahi kufanya kazi!?
Kama ingekua inafanya kazi North Israel wayahudi wasingekimbia.
 
Si tuliambiwa Israel ni noma 🙄 sasa hivi tutasikia wanasema kwanini Israel isichimbe mashimo mengi ya kujificha
 
Well written 👍
 
Sisi ndio tunamshangaa mbabe wenu anajificha chini ya mitaro ya kupitisha mavi, yote eti anamuogopa Iran. Huna habari wewe mtoto wake alikuwa aowe hii week, kamua ku cancel kwa kumuogopa Hezbullah 😄
Anamuogopa afu kavamia nchi yake. Unajua maana ya kitendo cha kuingiza ndege iran ni uvamizi. Punguza upumbavu maana bora ingekua ujinga ila ww n mpumbavu
 
dogo ndege za Israel zilishia Iraq subutu ziguse Iran. Hivi wewe wa kata ipi hata watu wa tarafa wanajua israel alishia Iraq akarusha Missiles yeye na US. UK. FRANCE, ITALY
 
View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1852705645398556986
 
Hivi israel haiwezi kuyalipua kabla hawajayafyatua? Au intelijensia haifiki mahali yalipo hayo makombora?
Intelligence ni kwa wanamgambo tu .au unadhani ineligencia ni kama sala ya sacramental
 
Iran wanaume huwa haombi kibali kwa mtu sio hao Israel mpaa wapewe kibali kwa US au Nato na pia wasaidiwe.
Nadhani hi pia sio kweli; imeandikwa kimahaba zaidi kuliko facts. Mara zote Israel kashambulia Iran, USA alimuomba asifanye hivo but Mayahudi kichwa maji yakalipua.
 
Hivi wewe unamini hayo nikikuambia akili zako bado zakushikiwa unabisha. US anapiga yeye afu anakuambia hata Israel hakutushauri. US anakuambia hatumpi Israel silaha afu anapeleka silaha na askari.
 
Tuachane na ubishi kaka; ninazo facts za ninacho kisema. Ngoja niweke baadhi then sitarudia tena kuandika. Mwaka juzi jeshi la maji la USA la pale Iraq liliwaua makomandoo 7 wa Iran pale Syria, Iran iliahidi kulipiza kisasi, na kweli ndani ya siku 3, Iran ilirusha missiles na kuua pamoja na kujeruhi askari kadhaa wa USA, USA hakuwahi kujibu hadi leo. Enzi za Obama, USA waliwahi kutuma dron ya upelelezi katika anga la Iran, Iran waliondosha ile dron to the ground, again USA did nothing to Iran but tofauti na Israel, anaua apendavyo pale Iran tena hadi makao makuu ya nchi, kaua wataalamu wa nuclear, kaua makomandoo kadhaa wa Iran kaua hadi rais wao. Walirusha makombora yao ile season promise 1 baada ya Iran kufanya yake kwa jeshi la Iran lililopo Syria but Israel again alijibu, kapiga juzi promise No 2, mwamba kajibu but this time according to Israel wenyewe, wamefanya vile baada ya wao kudai Iran ndio walishambulia nyumba ya PM wao iliopo Kaisaria. Haya nikumbushe lini waliomba ruhusa from USA?
 
dogo ndege za Israel zilishia Iraq subutu ziguse Iran. Hivi wewe wa kata ipi hata watu wa tarafa wanajua israel alishia Iraq akarusha Missiles yeye na US. UK. FRANCE, ITALY
Wewe kobazi tembea mbele 😁😁😁 haki ukisha kuwa kobaz ndio hivo unakua nusu mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…