baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Unajua speed ya kombora? Makombora ya Iran ni mach 13-15 ambayo ni zaidi ya kilomita 16,000 kwa saa, kwa lugha rahisi uelewe ndani ya saa moja inaweza kwenda dar mwanza na kurudi zaidi ya mara 8.Iron dome haipigwi kirahisi, last time walifanya hivyo kwa kutuma drone nyingi sana na makombora machache kwa wakati mmoja
Si kwa kutanguliza kimoja, ukifanya hivyo hutoboi
Drone hazina speed unakuta ni chini ya kimomita 200 kwa saa.
Zikiruka pamoja si makombora yatafika kabla ya Drone?
Siku zote ni hivyo drone zinatangulizwa makombora yanakuja baadae.
Pia unasema Iron dome haipigwi kirahisi wakati tumeona mara 2 Israel kapigwa juzi tu hapa na hakuna defense iliozuia?