Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

Kwa vile habari imetoa Iran, ni lazima kwa wengi itakuwa na mashaka.

Na mara nyingi Israel ni mfichaji wa taarifa dhidi ya mashambulizi anayofanyiwa na pengine ana sababu zake muhimu.

Tusubiri muda ni mwalimu mzuri! India mara ya kwanza ndege yake ilivyolipuliwa alikataa lakini mbeleni alikiri. Tuupe nafasi muda.
Habari kama hizo hazifichiki, iran nae anaweza exaggrate such thing ku project wako fit
Kila nchi inaweza fanya hivyo

Lakin kuna vyombo visivyo bias lazima wa report hizo
 
Habari kama hizo hazifichiki, iran nae anaweza exaggrate such thing ku project wako fit
Kila nchi inaweza fanya hivyo

Lakin kuna vyombo visivyo bias lazima wa report hizo
Kwa aina ya jumla ya viongozi wa ngazi za juu ya kiusalama na kijeshi walizotangaza wa-Iran wenyewe kuwa wameuliwa kwenye shambulio lililofanywa na Israel sidhani kama wanaweza kuongopa au kuongeza chumvi.

Kwa sababu nia na uwezo wa kuficha maangamivu ya taarifa ya vifo vya wakuu wao wanao. Lakini bado wakaihabarisha dunia. Ni uwazi wa hali ya juu!

Sidhani kama watu wa namna hii waongeze chumvi vilevile kwenye harakati zao za kupambana na Israel.
 
But huoni kuwa habari inayotoka upande mmoja haina meaning? Ndio maana vyombo huru vipo , ambavyo havitalalia upande wa mtu
 
Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu

IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel in recent hours.

He also noted that over 200 IDF aircraft have attacked over 100 targets in Iran with over 330 munitions.

He did not say when they would reach Israel, but in April 2025, it took such drones several hours.
Asichojua Iran ni kuwa anajiweka uchi, Israel anamchokonoa makusudi kisha yeye akikurupuka kujibu basi majasusi wa Mossad ambao wamejaa Iran wanajua mitambo ya kufyatulia na kurushua hizo drone iko wapi kisha ndege za Israel ambazo Iran hana uwezo wa kuzizuia zinakuja kuharibu.
 
But huoni kuwa habari inayotoka upande mmoja haina meaning? Ndio maana vyombo huru vipo , ambavyo havitalalia upande wa mtu
Vyombo huru kwa sasa vipo vichache Mkuu! Vyombo vingi vina mlengo, lakini ukweli hauna mlengo.

Tuupatie nafasi muda, kila kitu kitakuwa wazi Mkuu.
 
Back
Top Bottom