AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Israeli hawako vizuri hata kidogo, Hamas ni wanamgabo sio jeshi ambalo lipo well trained, imewezaje kukiuka security Intelligence za Taifa linalosifiwa sana linauwezo mkubwa. Israeli anasilaha za kutosha na buck up ya mataifa yenye nguvu, ila kama ataachwa peke yake apambane na Hamas au Hizbullah Israeli ndani ya wiki moja tu yote itakua mikononi mwa Hamas au Hizbullah. Ifutalieni vita ya Isreli vs Hizbullah 2006 nini kilimpata.Siwapendi Israel, ila nakubali kwamba wako vizuri sana.
Nakumbuka jinsi walivyokuwa wakiua mtaalam mmoja baada ya mwingine wa watengeneza silaha za niuklia huko Iran