Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nandio maana nkakupa hongera wewe mjanja unapokea misaada ya USAIDS Mpaka Sasa Kwakweli Umeendelea Mnoo[emoji12][emoji14][emoji14]tena siyo wajinga tu bali pia ni wapumbavu wakubwa
Ooooh sasa ndio wameamua kulipa kisasi kwa kutungua ya ukraine na kuua majority ya raia wakeMarekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.
Naona watu wanajisahaulisha au hawajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Paper Tiger US Hawez Pigana Na IRAN Hata Kwasekunde .....hebu toa upupu wako hapa..... iran hawezi kupigana na mmarekani hata kwa dakika moja
Unasema wameuwawa wasio na hatia. Kati ya abiria 176, 63 ni Canadian, technically hawa siyo Canadian, ni cover up ya CIA, CIA wanaofanya shughuli zao nyingi nje ya USA utumia passport za Canada au Australia mark my word. Hivyo kunauwezekano mkubwa watu Canadian walikuwa ni part ya CIA, pia inawezekana Russia waliwapa info zote za hao CIA wako undercover na passport za Canada. Miaka ya 80 Russia wadungua ndege ya abiria Pwani ya Korea na Japan iliyokuwa na CIA wa Wamarekani, pia USA walishawahi dungua ndege ya abiria kwa kisingizio kwamba ilikuwa na mashushushu wa Iran na kuua abiria 290.Wameuwawa Wasio Na Hatia, Ila Hii Hali Ni Mbaya Sana Watu 176
Mkishaa vaa makanzu na kulea mindevu akili huwakimbia, sasa unapiga ndege ya abiria mabomu umechanganyikiwa hadi unaua raia wako. Ndio maana baadhi ya mataifa kama India hamruhusiwi kuingia, maana nyie mna kansa ya kizombi zombi.
Kwan kufeli kunategemea tekelinalokujia marangapi US vyombo Vyao Vyakwenda Nga Zambali Vina FailTofauti ni kwamba 1988 Technology ilikuwa ndogo tofauti na hivi sasa... Pamoja na kwamba kweli makosa ya kibinadamu yapo
Inasikitisha sana.. Itawaumiza zaidi waliopoteza watu wao wa karibu at least inhekuwa nia ajali ya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kama walikua majasusi kweli wamepewa walichokistahili.....huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua
Thinking aloud!
furaha kubwa kwa wana Iran kuua wakanada 63
duh tetteeeeehee
Kwani nimesema kama ni sawa au siyo sawa kwa Iran kuidungua ndege ya Ukraine,au nimeuliza tu kama anakumbuka tukio hilo.Na walikufa raia wa Marekani wangapi katika hiyo ndege? So unaona ni sawa kutungua ndege na kuua raia wako mwenyewe kisa Marekani 1988 alitungua ndege yako? Kisasi cha kijinga kabisa
hebu toa upupu wako hapa..... iran hawezi kupigana na mmarekani hata kwa dakika moja
Wewe ndo utoe upupu ili uwe muelewa,nimeongelea wapi hapo kuhusu Irani kuipiga Marekani,au ndo kukurupuka,tulia dogo,acha wenge.hebu toa upupu wako hapa..... iran hawezi kupigana na mmarekani hata kwa dakika moja
Kwa Mapank Hawafugi Magaidi, Wala hakuna Wavaa Suruali za WatotoNamuomba Marekani aachane na Iran aende kumchokonoa Dogo Mapanki North Korea ubabe alio nao tuzidi kuujua.
Sio jeshi dhaifu, mpaka kukiri inaonyesha ni washupavu! Vipi hii ya USA?Hili jeshi dhaifu ndio lilitaka kupigana na US kweli?
Mwanzo walikana katakata, USA na Canada intelligency wakasema wana ushaidi wa picha za satelite kwamba kombora la Iran lilitungua ndege, leo kipo wap
Ndio maana US hataki hawa wamiliki nuclear maana wataangamiza dunia kwa mihemko yao
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree with you 100 % majasusi wengi wa Marekani na Israel wanatumia passport za Canada na Australia hivyo walikuwa wanasepa na documents Nyeti za nchi ya Iran, Russia wakawashitua rafiki wao Iran, ndo yakatokea hayo. hii dunia ni uwanja wa fujo rip Prof kezirahabi nguri wa fasihi.huenda kwenye ile ndege Iran iligundua kuna majasusi "high profilewa Isrsel, Marekani na nchi hasimu waliokuwa wakisepa na taarifa nyeti kuhusu Iran ikaamua kuwatungua
Thinking aloud!
Narudia kusisitiza. Waasi wa Ukraine ndo walitungua ile ndege wala sio Russia. Zilizotumika ni missiles zilizonunuliwa Russia miaka hiyo ya zamani. Yani wewe unataka kusema ukikamatwa na AK-47 basi unakuwa raia wa Russia.Wewe sijui upo dunia ipi??---
Warusi walitungua kwa maksudi ndege ya Ukraine iliyokuwa maelfu ya Feet.
Kuna makombora special kwa kazi ya kutumgulia ndege tu-- they are so eccurate that they deviate a foot in long distances---- ask the Russians.