Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Sisi Tanzania tunaweza kutungua ndege ya wapi? Usije ukanijibu ya ufipa tu
 
Hata marekani alishatugua ndege ya abiria ya Iran flight 655 mwaka 1988 walikufa watu wote 290 waliokiwepo kwenye ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello.

Kwenye Twitter yake ya Rais wa Iran ndugu Rouhan kakiri kuwa waliidungua kimakosa ndege ya abiria ya Ukraine hivyo kupelekea vifo vya abiria 176.

Kaomba radhi na kuahidi uchunguzi unafanyika na atatoa adhabu stahiki kwa wote wanao husika.

Sina cha ziada



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hitimisho ni kuwa:

Yale yote yaliyokuwa yakizungumzwa na vyanzo mbalimbali hususani vya magharibi kuhusiana na hili kwa namna moja ama nyingine yalikuwa SAHIHI.

Pia pitia hapa;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…