Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Sisi Tanzania tunaweza kutungua ndege ya wapi? Usije ukanijibu ya ufipa tuDynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao