mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Hili jeshi dhaifu ndio lilitaka kupigana na US kweli?Jeshi la Iran limekuwa likikanusha kutungua ndege ya Ukraine toka ilipoangushwa na kuua watu 176, Sasa wanatakiwa kulipa fidia, inasikitisha sana
Marekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.
Naona watu wanajisahaulisha au hawajui
Sent using Jamii Forums mobile app
acha ushamba ushawahi ona nchi ya mashariki ya kati inaleta vurugu bili kumuanza hao mnaowaita superpower ndio chanzo cha matatizo hapa duniani.alafu tambua kila jamii inatamaduni zakeHawa ni wauaji tangu kuumbwa kwa Dunia, bila kuwepo mbabe dhidi yao Dunia ingeshihidia unyama kila sehemu.
Sent using Jamii Forums mobile app
MAREKANI NI TAIFA KUBWA, ALISEMA JUZI KUWA IRAN IS RESPONSIBLE FOR "DOWNFALL" OF BOEING, ONLY SCORNIFUL RESPONSE WERE PRESENTED FROM TEHERAN LOVING ......
Wamekiri baada ya kuwekewa ushahidi wa wazi usio na Shaka yoyote Ile lakini mwanzoni walikanushaBora wao wamekiri kuliko lingekuwa lile taifa la wanafiki, wanaoshindwa kusemaga ukweli eti taifa lao lisipate aibu!
Kwakuwa Ukraine waliruhusiwa na wenyewe Iran kuwepo katika uchunguzi naimani wataipokea hyo taarifa kuliko wangekataa alafu wenyewe wakaja kujua baadae kungekuwa na mzozo wa kidiplomasia.
Roho za marehemu zipumzike kwa aman.
Dynamics ya mpaka uje utungue ndege ni ngumu sana...kumbuka ndege inamove,inaincrease altitude and also horizontal coverage... Yani kuitungua ndege hata kwa makusudi sio rahisi inahitaji kaufundi....sasa kama makusudically ni ngumu sembuse kwa bahati???
Yani ni sawa na mtu abahatishe kutengeneza application ya simu bila kukusudia..haiwezekani
Hiyo sio mistake,nchi zinatungua ndege zikiwa na lengo lao
Sio 82 hata wale wenye uraia wa Canada ni wairan pia. Wana duo nationality.View attachment 1319052
Hiki ndo alichokifanya Iran, raia wako 82 unawaua Kwa mihemko
Kwahiyo kaka wewe ndugu yako akikojoa mbele za watu na wewe utakojoa pia? Au na wengine wafanye kwa kuwa yeye kafanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
US =Wauaji wa raia wasio na hatia.Hili jeshi dhaifu ndio lilitaka kupigana na US kweli?
Mwanzo walikana katakata, USA na Canada intelligency wakasema wana ushaidi wa picha za satelite kwamba kombora la Iran lilitungua ndege, leo kipo wap
Ndio maana US hataki hawa wamiliki nuclear maana wataangamiza dunia kwa mihemko yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa somo ni Iran kujipiga wenyewe na wa Iran kuweka box la data kwapani na kukanusha vikali na kutukana USA.USA ni kubwa jinga la dunia, siku zote linahangaikia kulinda ukubwa wake "by hooks or crooks"--- limeshikwa na taharuki na kuweweseka baada ya China kuja juu kiuchumi linaona ukubwa wake sasa unaelekea "finito".
Usa walikubali hawa walikanusha na matusi kibaoMarekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.
Naona watu wanajisahaulisha au hawajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran wameniangusha sana,yaani wamejifunga wenyeweKiukweli, ushahidi ulikuwa mwingi mno usio na kificho na wala hakukuwa na haja ya kuutafuta sana kwa kufanya uchunguzi wa muda mrefu.
Je mmarekan alikanusha hilo tukio?Marekani alishaipiga ndege ya abiria Airbus A300 flight 655 ya Iran wakafa watu 290.
Naona watu wanajisahaulisha au hawajui
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbona mnakuwa wapumbavu mmeshaambiwa ni makosa ya kibinadamu, vipi na marekani ilipo idungua ndege ya abilia na kuuwa raia miambili na uchafu ilikuwa ni mihemuko?
Hahahaha, Leo unahangaika Sana kuwatetea hao wapuuzi wenzio. Kila sehemu unacoment wewe
Sasa mbona hiyo Ndege ilikuwa imetokea TehranIle ndege ilibadili route bila taarifa,wakati huo Iran anapiga base ya USA,kwa hiyo kwanza Iran alikuwa na tension ya anga lake kuingiliwa na USA.Ifahamike kwenye rada unaona object tu kujua civil plane mpaka mawasiliano inawezekana Iran hawakutaka kupoteza muda kuuliza kwanza...