Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Iran yakiri kuitungua "kimakosa" ndege ya Ukraine

Ni mwaka 1988. Lakini Iran inafanya kosa hilo 2020. Yawezekana teknolojia ya US ya 1988 ndiyo waliyo nayo Uran 2020. Does it mean technologically, Iran is almost 32 years behind US?
Na hapa ikawaje mwaka 2019 kombora la US likaua watu wasio na hatia?
Screenshot_2020-01-11-16-38-49-1.jpeg


dodge
 
Ndo mana nimekwambia ungetuliza akil ndo u comment ...kwan mtu akikwambia kalipua kwa kwa bahat mbaya unaelewa nn?? Alikusudia kuishusha ila wakat missile zishatoka ndo ukaona umefanya makosa na huwez zirudisha.....hata tz ishalipua ndege yenye watu wake 1977 je ni bahat mbaya au makusudi kama ni bahat mbaya je nn kilitokea??
Wamebadilisha pitch... Mwanzoni walisema yale mabom hayakukusudia ile ndege yalitumwa sehem nyingine sema tu the plane happened to be at a wrong place at a wrong time hence bahati mbaya...
Hii pitch ya kwako pia ni ya kitoto kwakuwa hawawezi kukosea halafu ikisharuka ndo wakastuka...Iran sio bongo mkuu
ile ndege wameishusha makusudi
 
Iran wameonesha kwa kubwabwaja ni namba 1 kwa wazaramo " zilongwa mbali zitendwa mbali"



Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama trump alivyokua anapiga kelele kule twitter,kila baada ya dakika chache lazima vitisho kwa Iran,ila baada ya kuvurumishiwa makombora na Iran.

Akaishia tu kujibu ALL IS WELL,mpk leo amefyata mkia hahah.

dodge
 
Imebidi nicheke kwanza hahahahIran wamesema (nenda Twitter ya rahisi wao) kuwa wameitungua ndege kimakosa kwa sababu ya uzembe wa 'watu' fulani na itabidi wawajibishwe kwakuwa wamefanya kosa lisilosameheka....
Wewe huku Jf unasema ni kosa la system imejitungua yenyewe...inabidi wakuajiri uwe PR wa Iran ungesave face yao kabisa
Rahisi ndio nini ?

Ni raisi sio rahisi. Degree za India.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo umetafsiri?? Mbna maelezo ya kingereza ni tofaut na huo utangulizi wa kiswahili ??


Ndo wale wa mizan mbele mita 500 afu kwa kizungu weigh bridge ahead 200m
Ndiyo, ni mimi niliyetafsiri na wala sijakosea.

Hayo ni maelezo ya utangulizi kwa mujibu wa wachunguzi wa Ukraine.

Huo utangulizi uko sahihi na nimeweka chanzo chake katika sasisho pale chini yake kwa anayehitaji kuisoma kwa ukamilifu wake.

Tovuti nyinginezo zenye maelezo hayo hayo niliyoyaweka katika utangulizi, hizi hapa chini:

====

Iranian missile hit plane's cockpit from below, Ukraine official says, as crash footage emerges
Ukraine's top security official has said investigators believe the cockpit of a downed Ukraine International Airlines Boeing 737-800 airliner was hit by an Iranian missile from below, killing the pilots instantly. "It hit the cockpit from underneath.

We think this is proof," Mr Danilov told the BBC, referring to a photo of the downed cockpit taken by Ukrainian investigators.

Iran missile hit Ukrainian plane cockpit killing pilots instantly, top official claims
Ukraine’s top security official told the BBC that the pilots died before the jet hit the ground – killing all 176 people on board.

Speaking about a photo of the wrecked plane which shows the bottom half of the cockpit is missing, he said: “The photo shows the part where the missile hit.

“It hit the cockpit from underneath. We think this is proof. And it explains why we didn’t hear anything from the pilots. They died immediately after the first hit.

Iran plane crash: Missile struck underneath cockpit - Ukraine
Ukraine's top security official, Oleksiy Danilov, has told the BBC that his country's investigators had already gathered evidence that a missile brought down a Ukrainian passenger jet, before Iran changed its position.

 
Former member of the United States Senate Daniel Patrick Moynihan alisema
"Everyone is entitled to his own opinion, but not to his own facts."

Ndege ya Ukrain ilichelewa kutuma signal wakati Iran inarusha makombora. Kilichotokea nayo ikafyatuliwa kombora. Unfahamu hili?

Iran amewekewa vikwazo na Marekani na Boeing ni kampuni ya Marekani ambayo kutokana na vikwazo haitakiwi kuwa na mahusiano na Iran. Umejiuliza na hili?

Ukraine, Canada na nchi nyenginezo ziliruhusiwa kwenda Iran kwa ajili ya uchunguzi. Iliyokataliwa ni Amerik tu! Unafahamu hili? Wewe kweli taarifa ya habari unaangalia?

Mbona mnaandika vitu vya ajabu sana?
Hii ndiyo JF ninayoipenda.
 
Yes, miaka 23 kama bado yuko shule uko mwaka wa tatu au wa pili chuo kikuu.
Na kama ni mtoto wa kiislamu wakiume ana mke na ndoa ina miaka miwili au mitatu, kama ni wakike ana watoto watatu tayari.
.
Hiyo tabia ya kujiinua na kuita watu wakubwa humu wapumbavu iache kabisa kuna baba zako humu
Hata choo bado anakunya pale pale home kwa mdingi achana nae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyesema kwamba hyo ndege ilikuwa na majasusi ni Nani? Ina mana hyo ndege iliruka nje ya route yake ya kawaida badala yake ikapita eneo la jeshi? Kama walikuwa na waswas nayo Kwa nn wasingeamuru irud airport Kwa uchunguzi ? Ina maana air defence na airport operetta hawana mawasiliano? Badala yake immediatey baada ya kuruka wakaua raia zao ambao nyie mnatuaminisha ni majasusi...na majina Yao yamekuwa released na ndugu zao wameomboleza......

Battle ya USA na Iran ni one way battle,
Dawa ya majasusi ni kifo 2 nandio maana harakati zao huendeshwa kwa usiri sana (undercover)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila atleast wangeuawa raia wa USA hawa ni mbali na wahusika

Utetezi wao ni kuwa walikosea ku identify ndege walijua ni ya kivita ya USA

Mdororo wa uchumi na vyombo duni vimeionyesha dunia, Iran hawezi vita
Duuh hawakusema kama walijua niyakivita ya us wamesema yakwamba wamekosea

Kama wanasema hawajui vita ndio pakwenda kuwapiga ss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom