Iran yamhamisha Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei

Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.

Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Duh!...weka chanzo cha habari Ili kukazia zaidi.
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.

Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Bora wangemuacha hapo Mossad Wana jicho Kali wakimuhitaji hata aendeshimoni watampata
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri.

Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule.

Waarabu kazi mnayo, Babu Neta kavurugwa
Bahati nzuri MOSSAD wana mawakala na watoa taarifa wa kutosha ndani ya Jeshi la Iran na taasisi nyingi za huko.

Ayatollah asipoteze muda, atulie tu asubiri kunyolewa kama wenzie wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…