Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Nakumbuka kipindi kile Sony wanataka kuachia movie yao ya the interview, comedy inayohusu assasination ya Kim Jung Un jamaa wa North Korea wali i-hack Sony mbaya kabisa.

'Sony Pictures Entertainment is hacked. Employees are locked out of their computer network and glowing, red skeletons appear on their screens. An accompanying message says they've been "Hacked by #GOP" and all of their internal data have been obtained and can be shared. In the days that follow, personal information, e-mails and unreleased movies like Still Alice, Annie and To Write Love on Her Arms are leaked online.'
Retaliation ni lazima, na wengi wasiojua mambo wanadhani ni lazima Iran ajibu nayeye kwa kuingia kwa battlefield hawajui kuwa wars are fought on many fronts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wanasiasa uchwara wale. Subiri breaking news

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,nikajua unafaham mambo ya kulana mzigo tu,kumbe na huku humo😛
 
Wapigane sasa, tumechoka mipasho na vitisho kama vya kina Kim Jung
 
Lakini unaweza kuilinganisha Iran na Marekani kwa nguvu za kijeshi?
Hapa mnabishana wakristo na waislam. Kwa kifupi vita sio nzuri.
Na Iran hata akisaidiwa na marafiki zake badi uwezo wa kupigana na Marekani hana hata nusu, atapigwa tu.
Waislam wa jf wana tabia ya kuichukia Marekani ndio maana wapo radhi waongee uongo ili kujifurahisha.
Marekani wana nguvu sana za kijeshi sio wa kuchezewa hata kidogo. Sadam Hussein ni mfano mmojawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haujawahi pigana vita uliyoandika yako sawa. Wewe upo nyuma ya keyboard unatype kwahiyo huwezi kuona athari za vita. Vita ni kifo na hakuna binadamu anayependa kifo kwahiyo unapoingia vitani na nchi fulani lazima utumie hekima na busara. Kwa mfano Iran akiipiga Marekani atapata nini? Hapo tunaingia moja kwa moja kwenye mdodoro wa kiuchumi kwahiyo hata yeye ataathirika kiuchumi.
Marekani akiipiga Iran atapata mafuta na uchumi wake utaongezeka. Kama vita haina maana lazima upuuzie tu na Iran hawezi kuingia kwenye vita na Marekani kwasababu anajua atawaumiza uchumi na wananchi wake.
Iran anavionesha hivyo vikombora vyake naye anajiona mwamba wakati watu wametunza silaha nzito na hatari na hawazioneshi. Japan alikuwa anajitapa kama Iran ila alipigwa bomu matata sana na hakulipiza kisasi mpaka sasa tunavyoongea.
 
Nakazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Sadam alikua na nguvu gani wkt silaha zake zote zilikua za kununua huko huko West hakua na tech ya maana tofauti kabisa na Iran.

BTW mimi ni mkristo ila US wakizingua nawachana tu,na waislam waki kengeuka na wao nawapa kubwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawaza fursa tu..ikiwa kitanuka kweli nitanufaikaje?
 
Ni kweli at times kuwa vita vinategemea kuhadaa, lakini vitu vingine ni obvious. Maspy unakuta yamepandikizwa karibia kila mahali na wakiwa na taarifa za msingi karibia za kila kitu. Mawazo yake kwa ile "traditional way of fighting " ilikuwa sawa ila kwa sasa mengi yamebadilika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamia Iran mkuu ukawe mmoja wao ukiwaaminisha wenzio kuwa in mkwara , Nina uhakika mtafutiliwa mbali na USO wa dunia hii...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…