Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Nakumbuka kipindi kile Sony wanataka kuachia movie yao ya the interview, comedy inayohusu assasination ya Kim Jung Un jamaa wa North Korea wali i-hack Sony mbaya kabisa.

'Sony Pictures Entertainment is hacked. Employees are locked out of their computer network and glowing, red skeletons appear on their screens. An accompanying message says they've been "Hacked by #GOP" and all of their internal data have been obtained and can be shared. In the days that follow, personal information, e-mails and unreleased movies like Still Alice, Annie and To Write Love on Her Arms are leaked online.'
Retaliation ni lazima, na wengi wasiojua mambo wanadhani ni lazima Iran ajibu nayeye kwa kuingia kwa battlefield hawajui kuwa wars are fought on many fronts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama Irana watafanya lolote siku za usoni kujibu shambulizi la Marekani kwa huyo general. Kitendo cha kupandisha red flag ni kama kitisho tu ili mmarekani nae tumbo limkate. Strategy ambayo nauhakika Iran wata infiltrate magaidi na kuwapiga marekanj kwao pale in small scale. Sidhani kama itatokea watu wakaingia uwanja wa vita. Wataendelea kupasuana chini kwa chini.

Expect kusikia mashambulizi ya kigaidi dhidi ya raia wa US sehemu yoyote dunuani na US penyewe yakiongezeka na pia tegemea kusikia air strikes za US zikiongezeka kwa vikundi vya kigaidi lakini real war is unlikely.
Sio wanasiasa uchwara wale. Subiri breaking news

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta

Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,nikajua unafaham mambo ya kulana mzigo tu,kumbe na huku humo😛
 
Wapigane sasa, tumechoka mipasho na vitisho kama vya kina Kim Jung
 
Lakini unaweza kuilinganisha Iran na Marekani kwa nguvu za kijeshi?
Hapa mnabishana wakristo na waislam. Kwa kifupi vita sio nzuri.
Na Iran hata akisaidiwa na marafiki zake badi uwezo wa kupigana na Marekani hana hata nusu, atapigwa tu.
Waislam wa jf wana tabia ya kuichukia Marekani ndio maana wapo radhi waongee uongo ili kujifurahisha.
Marekani wana nguvu sana za kijeshi sio wa kuchezewa hata kidogo. Sadam Hussein ni mfano mmojawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haujawahi pigana vita uliyoandika yako sawa. Wewe upo nyuma ya keyboard unatype kwahiyo huwezi kuona athari za vita. Vita ni kifo na hakuna binadamu anayependa kifo kwahiyo unapoingia vitani na nchi fulani lazima utumie hekima na busara. Kwa mfano Iran akiipiga Marekani atapata nini? Hapo tunaingia moja kwa moja kwenye mdodoro wa kiuchumi kwahiyo hata yeye ataathirika kiuchumi.
Marekani akiipiga Iran atapata mafuta na uchumi wake utaongezeka. Kama vita haina maana lazima upuuzie tu na Iran hawezi kuingia kwenye vita na Marekani kwasababu anajua atawaumiza uchumi na wananchi wake.
Iran anavionesha hivyo vikombora vyake naye anajiona mwamba wakati watu wametunza silaha nzito na hatari na hawazioneshi. Japan alikuwa anajitapa kama Iran ila alipigwa bomu matata sana na hakulipiza kisasi mpaka sasa tunavyoongea.
Nyie ndo mnawalisha watu roho za uoga.
Mtu anakuingilia mpaka chumbani kumla mkeo anakukula kiboga na wewe bado unakaa kimya?
Mwanaume yeyote anayedindisha hajazaliwa na roho ya uoga.

Waache wafe kishujaa waingie kwenye record ya dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia
Acha kuwa mlemavu wa akili, Iran ina uwezo gani juu ya US? Hv hz akili mnakodishiwa au? Eti red flag, hiyo wanajitisha wenyewe, Iran has nothing, huelewi au? Atafutika kama Iraq, Libya, Afghanistan, au Syria ashukuru Mungu Russia nchi ya kikristo imeisaidia.. Maana kama sio Russia nchi ya Kikristo kusaidia Syria leo ingekuwa majivu, tokea lini nchi yoyote ya kiislam ina nguvu ya kivita au technology umeona wapi? Sbb uwezo wao kiakili ni mdogo sana, wanajua kujilipua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Sadam alikua na nguvu gani wkt silaha zake zote zilikua za kununua huko huko West hakua na tech ya maana tofauti kabisa na Iran.

BTW mimi ni mkristo ila US wakizingua nawachana tu,na waislam waki kengeuka na wao nawapa kubwa tu.
Hapa mnabishana wakristo na waislam. Kwa kifupi vita sio nzuri.
Na Iran hata akisaidiwa na marafiki zake badi uwezo wa kupigana na Marekani hana hata nusu, atapigwa tu.
Waislam wa jf wana tabia ya kuichukia Marekani ndio maana wapo radhi waongee uongo ili kujifurahisha.
Marekani wana nguvu sana za kijeshi sio wa kuchezewa hata kidogo. Sadam Hussein ni mfano mmojawapo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nawaza fursa tu..ikiwa kitanuka kweli nitanufaikaje?
 
Ni kweli at times kuwa vita vinategemea kuhadaa, lakini vitu vingine ni obvious. Maspy unakuta yamepandikizwa karibia kila mahali na wakiwa na taarifa za msingi karibia za kila kitu. Mawazo yake kwa ile "traditional way of fighting " ilikuwa sawa ila kwa sasa mengi yamebadilika.
Noma sana huyo jamaa, master of deception. Anakuambia

"All warfare is based on deception. Hence, when we are able to attack, we must seem unable; when using our forces, we must appear inactive; when we are near, we must make the enemy believe we are far away; when far away, we must make him believe we are near"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamia Iran mkuu ukawe mmoja wao ukiwaaminisha wenzio kuwa in mkwara , Nina uhakika mtafutiliwa mbali na USO wa dunia hii...
Hapana dada, Trump ameweka hizo data i.e gharama kubwa zilizotumika, ambazo sio uhalisia wa mambo yalivyo, ili tu kuwatisha Iran ambao budget yao ya jeshi ni ndogo. Kiuhalisia ni vitisho tu, angekuwa anamaanisha wala asingekuwa na haja ya expose exact figures walizo invest kwenye hizo silaha, ni mkwara mbuzi tu wala usitishike na Trump.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom