Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Sasa hapa tukizungumzia na Vietnamese waliogeuzwa vilema mzee si watafika milioni zaidi ya 10..! Anayejipa moyo ni nani?
Yaani wauwawe kwa mamilioni, mamilioni wageuzwe vilema, nchi iharibiwe useme sio big deal? Kama Vietnamese kuuawa kwa mamilioni sio big deal kwa nini uone Marekani wachache kuuawa ni big deal? Hahaa, au Vietnam ni wanyama?
 
Hahah uzuri wa viet-cong huwezi kusikia wanajiliza jilza hovyo hovyo kama Veterans wa USView attachment 1313843

Sent using Jamii Forums mobile app
Still haiondoi fact kuwa Vietnam aliumizwa sana na USA. Kama unaona wanajeshi elfu 58 wa USA kuuawa ni big deal ila wa Vietnamese milioni 4 kuuawa sio big deal, basi Wamarekani ndio binadamu kwako, hao Vietnam ni wanyama
 
Ila Marekani naye noma sana aisee! Kamwacha Jenerali Qassem kapiga domo wee! Katukana weee! Ametukana kweli kweli sio mchezo kumbe wanamlia timing tu. Ha ha ha wamenyofoa kama kuku yani.
Kwa mwenye akili hiyo shabaha ya hilo makombora inatosha kumfanya akae kimya ili asionekane mbwatukaji, hebu fikiria hiyo shabaha ya kombora (sio risasi) na bado halikusababisha madhara kwa watu na maeneo ya jirani.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na still haiondoi ukweli kwamba US na mbwembwe zake zote alikula kipigo heavy akafunga virago kwa aibu kurudi kwao.

GOODMORNING,Vietnam.
Still haiondoi fact kuwa Vietnam aliumizwa sana na USA. Kama unaona wanajeshi elfu 58 wa USA kuuawa ni big deal ila wa Vietnamese milioni 4 kuuawa sio big deal, basi Wamarekani ndio binadamu kwako, hao Vietnam ni wanyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na still haiondoi ukweli kwamba US na mbwembwe zake zote alikula kipigo heavy akafunga virago kwa aibu kurudi kwao.

GOODMORNING,Vietnam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kati ya aliyepoteza watu milioni 4 na nchi kuharibiwa, na aliyepoteza watu elfu 58, aliyekula kipigo heavy ni aliyepoteza watu elfu 58?
 
Vipi the most sophisticated US Drone iliyoshushwa na vijana wa ki-Iran na ikawa dis-assembled bila shida wala kuleta madhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nmekuelewa vyema mno
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kati ya aliyekuja na mbwembwe za Budget za $billions,sophisticated weapons akachezea kichapo kutoka kwa wakulima mpk akakimbia na hakufanikiwa kwenye agenda yake zaidi ya kurudisha miili ya wanajeshi wake kwao(ambao waliaminishwa wao ni the best duniani) nani alishinda?
Kwa hiyo kati ya aliyepoteza watu milioni 4 na nchi kuharibiwa, na aliyepoteza watu elfu 58, aliyekula kipigo heavy ni aliyepoteza watu elfu 58?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Budget za billions kwani si he hela tu hizo, hata zingekuwa trilions, sasa unalinganisha hela na maisha ya mamilioni ya watu?
Au waliouawa ni kumbikumbi?
 
Budget za billions kwani si he hela tu hizo, hata zingekuwa trilions, sasa unalinganisha hela na maisha ya mamilioni ya watu?
Au waliouawa ni kumbikumbi?
Hayo maswali pia angeulizwa Trump aliyekimbia kupelekwa kwny vita vya vietnam kwa kuzuga anaumwa lkn leo anapeleka watoto wa watu middle east wakajifie sababu ya uroho wa pesa(military industrial complex)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wao mbona weshaingia ikulu .Mtoto wa mwarabu anaoa mtoto wa Trump

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…