permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Na Trump alivyosema huyu jamaa ni monster ukaamini pia kwa sababu ni mzungu kasema?? Soon utafanania hao wahindi!Sasa kama Vice President amesema,unataka nisimuamini yeye nikuamini wewe mwenzangu wa hapa kwa kwa msuguri?
Wahindi wanasema Nehi nehi nehi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app