Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Umenifanya niwakumbuke wanao pambana na JPM kwa kutumia Facebook, Tweeter na JF wakati jamaa ana mawakala kila sehemu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

macson
 


Acha kuwa mlemavu wa akili, Iran ina uwezo gani juu ya US? Hv hz akili mnakodishiwa au? Eti red flag, hiyo wanajitisha wenyewe, Iran has nothing, huelewi au? Atafutika kama Iraq, Libya, Afghanistan, au Syria ashukuru Mungu Russia nchi ya kikristo imeisaidia.. Maana kama sio Russia nchi ya Kikristo kusaidia Syria leo ingekuwa majivu, tokea lini nchi yoyote ya kiislam ina nguvu ya kivita au technology umeona wapi? Sbb uwezo wao kiakili ni mdogo sana, wanajua kujilipua tu
 
Wadau:
Hivi ktk historia ya Marekani (USA), ni vita gani aliyo pigana nje ya nchi yake na akashinda?
 
Iran ingetulia tu yaishe, itapoteza zaidi ya mara dufu kuingia vitani na USA, USA mwenyewe ana washirika kibao..Ana Saudia, UAE, Israel, NATO, bado mwenyewe ana nguvu kubwa ya kijeshi..hata kama Iran atafanikiwa kumuumiza Marekani basi yeye nchi yake itageuzwa vifusi zaidi kuliko hata Syria

Ishu ni kuishi maisha yako tu, mwenye nguvu mpishe, ishi kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau:
Hivi ktk historia ya Marekani (USA), ni vita gani aliyo pigana nje ya nchi yake na akashinda?
Mzee nchi yoyote inayopigana vita na USA basi haitabaki kama ilivyokuwa, chukulia mifano tu ya Iraq, Afghanistan, ambazo zilivamiwa na USA zilivyo sasa hivi.

USA yeye kinachomgharimu ni hela na wanajeshi wachache, ila hao wanaovamiwa nchi zao zinaharibiwa totally.
So Iran ange swallow pride yake tu na kubaki zake salama
Kuendekeza pride kwa gharama ya kuvuruga nchi yako na mauaji ya maelfu ya raia ni ujinga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwanini wanalipiza kisasi kama wamepata fahari kubwa.?
Gavana

Uliwauliza ??? , mbona unamuuliza Mzanzibari aliyevamiwa na kanisa katoliki kutoka Tanganyika , huwaulizi Wairani ??
 


Na hiyo Marekani sivyo ilivyo kama . kabla haijazivamia hizo nchi
 
Yaan jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Bin Laden shoot to kill hawa majamaa sio watu wa mchezo kabisa, Iran ni mbwa tu anabweka.


Documentary aliyotengeneza Mmarekani ?? Taifa la watu zaidi ya milioni 200 kuendeshwa mbio na kikundi cha watu wasiozidi 50 , si ufala ni nini ??
 
Halafu huko kwa MABEBERU utasikia Mr. President au Madame President

Ila huku kwa dunia ya tatu hasa Africa utasikia His Excellence Honorable President au Her Excellence Honorable Vice President

Africa full kujimwambafy na kujitukuza kama miungu
Watu na intelligensia yao.. hatari sana.
Wanakumonitor kila sehemu.
"Mr President, the suspect is now pooing"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA iko mbali Sana, hawa maboya kamanda wao kapigwa usiku akiwa kazini.

Lazima wajiulize kuwa USA iko kila kona ya dunia.

Iran itafumuliwa na America itaweka utawala mpya, watachimba mafuta kufidia gharama za vita.

Iran tulieni tu, Ayatollah watakuja kumkamata Kama kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu hivi tu assume nchi kama Zambia au labda Angola ambazo zina idadi kubwa ya wafuasi wa dini ya ukristo utailinganisha na nchi kama UAE au Saudia kwa nyanja mbalimbali

Pia ni kweli America kwa sasa ni super power lkn unajua kuna himaya kama hizo Persian na Ottoman zilikuwa chini ya misingi ya dini ya kiislam na zilitawala sehemu kubwa ya dunia kwa miaka yake

Afu Ideology ya Russia haina ukristo huo kutokana na siasa zao zilizopita like China, Japan Christians are minority

Umeandika ki ushabiki na kuweka hisia za udini, ni kweli Europe na USA wapo vzr ndo muda wao kwa sasa lkn empire zinapokezana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…