Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Mawazo ya mtumwa haya.
Kwa waajemi kukubali unyonge mwao no mwiko mkuu
Iran ingetulia tu yaishe, itapoteza zaidi ya mara dufu kuingia vitani na USA, USA mwenyewe ana washirika kibao..Ana Saudia, UAE, Israel, NATO, bado mwenyewe ana nguvu kubwa ya kijeshi..hata kama Iran atafanikiwa kumuumiza Marekani basi yeye nchi yake itageuzwa vifusi zaidi kuliko hata Syria

Ishu ni kuishi maisha yako tu, mwenye nguvu mpishe, ishi kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni mawazo ya mtumwa kama wewe,Lakini kwa watu huru kama waajemi kukubali unyonge kwao ni mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafa mmoja wanataka waongezeke watu watakaokufa kwanini kutangaza vita na watakaoathirika ni wasio na hatia IRAN ijitafakari kama imepandisha bendera nyekundu ni kuzidisha hofu kwa wananchi wake na si ajabu saizi wakimbizi wameshaanza huko
Shida sio watakufa wangapi, Kuna wakati kulinda heshima ni jambo La muhimu hata kama itakugharimu kwa kiasi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta

Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
Israel is overrated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran ingetulia tu yaishe, itapoteza zaidi ya mara dufu kuingia vitani na USA, USA mwenyewe ana washirika kibao..Ana Saudia, UAE, Israel, NATO, bado mwenyewe ana nguvu kubwa ya kijeshi..hata kama Iran atafanikiwa kumuumiza Marekani basi yeye nchi yake itageuzwa vifusi zaidi kuliko hata Syria

Ishu ni kuishi maisha yako tu, mwenye nguvu mpishe, ishi kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala lakuisha kwa hili sahau MKUU Ila Suala Lajamaa Kutoa Majibu Kama Nnavyotaka Mm Na Wewe Hilo Pia Sahau


Ila Naamini Kama IRAN Wata Amua Kulipiza Kisasi Be4 General Election Pale US Amini Yakwamba TRUMPET Hatakaa Arejee Tena JUMBA JEUPE Kamweee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea Vyema Mno Ila Umemaliza Na Ugoro
Waajemi siyo Waarabu ni jamii ya wahindi wenye itikadi kali za kiislamu ni jamii ya watu makatili kwenye uso wa dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Itikadi kali za kiislam ndio zimekaaje hizo ?!

Ukatili Wao Upi ?!


IRAN Wanataka Waachwe Wafanye MamboYaoKwauhuruWao Kama Wanavyo Fanya Wamagharibi wakiamua kuoana wao kwa wao hakna anae waingilia na IRAN Wanataka SameThings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio waajemi 2
Mawazo ya mtumwa haya.
Kwa waajemi kukubali unyonge mwao no mwiko mkuu
Haya ni mawazo ya mtumwa kama wewe,Lakini kwa watu huru kama waajemi kukubali unyonge kwao ni mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atanisamehe lkn kwa hili ntalo ongea awe na mkewe halaf atokee mpuuzi mmoja huko awe anamchapia katika chmba alokodi ama nyumba na kwenye kitanda chake eti kisa jamaa ana gari na fedha ndio awe anamuachia kuja kulala na mkewe utakua utumwa wahali ya juu ndio ambao IRAN Anaukataaaaaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uarabu sio race, ni utamaduni. So Iran ni mwarabu kwa kuwa ana tamaduni za Kiarabu.
Dah shule hua 2na enda kufanya nn asee

Tuli ambiwa wazee wetu walikua wanavaa magome yamiti namajani kabla ya eti kuletewa ustaarabu na wazungu wakuvaa suruali suti nk

Ina maana ss hv ww ushakua mzungu sababu unavaa suti kama wao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya mtumwa haya.
Kwa waajemi kukubali unyonge mwao no mwiko mkuu
Haya ni mawazo ya mtumwa kama wewe,Lakini kwa watu huru kama waajemi kukubali unyonge kwao ni mwiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, mawazo ya mtumwa, Iran ni mnyonge kwa USA hiyo ni fact, sio suala la kubishana au maoni
Iran akitulia atabaki alivyo, akilipiza kisasi atageuzwa kuwa Syria nyingine
 
Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha bendera nyekundu juu ya Jumba Takatifu la Msikiti wa Jamkaran, huko Qom. Taarifa zinaeleza kuwa kupandishwa kwa bendera ya rangi nyekundu kunatoa ishara kuwa kuna vita kubwa inakuja au inaendelea.

Aidha, Ripoti hadi sasa zinaonyesha kwamba hii ni mara ya kwanza kwa Iran kuipandisha bendera hiyo katika jumba hilo takatifu.

Zaidi ya hayo, inaelezwa kuwa bendela hiyo sio ya maombolezo wala ukumbusho wa tukio lolote isipokuwa ni bendera inayotumiwa na Iran kuhamasisha jamii yake yote kuelekea katika pambano ambalo hawajawahi kuliona. Sambamba na hilo, inaelezwa kuwa bendera hii nyekundu iliyopandishwa haikuwahi kutumika hata wakati wa vita vya Iran na Iraqi.

Bendera Nyekundu ya Hussein iliyoinuliwa juu ya msikiti unaashiria nguvu ya kivita kama ile ya Karbala na rangi ya damu ambayo inaweza kumwaga hivi karibuni kama kisasi cha kuuawa kwa Jenerali Qassem Soleimani, ambaye kwa sasa amekuwa wanamuita Shahid Soleimanii.

Iran ililiambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu, Antonio Guterres Ijumaa kwamba ina haki yake ya kujilinda chini ya sheria za kimataifa baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani, kamanda wa juu wa Kikosi cha Walinzi cha Udhibiti wa Mapinduzi cha Iran.





ZAIDI SOMA:

F2935FE6-DF83-4A4B-B74F-38A9A72D0574.jpeg


The authorities of the Islamic Republic of Iran raised the Red Flag of Hussein over the Holy Dome of Jamkaran Mosque, in Qom. The raising of the red flag gives a precise signal – it indicates that a major war is to come or is even now underway.

Reports so far indicate that this is the first time Iran has unfurled this flag over the Holy Dome, a flag steeped in religious symbolism relating to Islamic eschatology, the end times, and the specter of total war of epic and religious proportions.

This is not a flag of mourning, or of somber remembrance. It is a flag indicating that Iran is mobilizing its entire society towards a conflict never before seen. Bear in mind that this flag was not unfurled even during the Iran-Iraq war.

The Red Flag of Hussein raised above the mosque symbolizes the strength of the battle like that of Karbala and the color of the blood that may soon be poured as sacrifice and for justice over the killing of General Qassem Soleimani, who has now become Shahid Soleimani (martyr Soleimani). Yet it reaches far beyond that of Shia martyrs, and speaks of events yet to unfold in short time.

The mosque is the considered one of the most significant in Iran, and in recent years has experienced much greater interest particularly from the youth.

Iran told the United Nations Security Council and Secretary-General Antonio Guterres on Friday that it reserves its right to self-defense under international law after the United States killed Qassem Soleimani, the top commander of the elite Quds Force of Iran’s Revolutionary Guards.

Iranian U.N. Ambassador Majid Takht Ravanchi wrote in a letter that the killing of Soleimani “by any measure, is an obvious example of State terrorism and, as a criminal act, constitutes a gross violation of the fundamental principles of international law, including, in particular, those stipulated in the Charter of the United Nations.”

Source Western Journal Commentary
 
Umeongea Vyema Mno Ila Umemaliza Na UgoroItikadi kali za kiislam ndio zimekaaje hizo ?!

Ukatili Wao Upi ?!


IRAN Wanataka Waachwe Wafanye MamboYaoKwauhuruWao Kama Wanavyo Fanya Wamagharibi wakiamua kuoana wao kwa wao hakna anae waingilia na IRAN Wanataka SameThings

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa langu lipo wapi huo ugoro mbona siuoni?
Waajemi hata kabla ya mtume Mohamad na Uislamu kiasili ni makatili ingawa ni taifa la kale kujitambua na kutaka waachwe katika itikadi zao za kizamani kutotambua haki za utu.
Waajemi ni watu makatili kiasilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema Iran siyo nchi ya waislamu. Sasa imekuwaje iwe Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran?
Sababu kuu ya kuipiga Iran ni anafadhili vikundi vya kigaidi. Hii sababu hata Russia na China hawakoromi. China akijadai mdomo mdomo anakabidhiwa kampuni ya Google imshughulikie.
Ukiwa na silaha hata umejaza nchi nzima na uchumi wako ni dhaifu, wewe bado ni mbuzi wa supu tu kwa Marekani. Ushawahi kupitia ugumu wa kiuchumi? Usiombe upigike kiuchumi maana utapauka mpaka watu watakuwa wanakushangaa.
ADUI MUOMBEE NJAA
 
Back
Top Bottom