Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

Jamaa anakuambia eti US aliondoa majeshi ili asitumie gharama sijui ujinga gani! Sasa ukishaona unapigana na unapata hasara meaning you are fighting a losing war ukakimbia si ndio umepigwa au? Maana umeona haufanikiwi unazidi ku lose resources tu.
US aliondoa majeshi Vietnam kwa sababu Raia wa Vietnam walikuwa wanauwawa sababu walijiingiza kwenye Vita na USA akawaonjesha kidogo tu bomu la sumu wakafa Kama nzige na jumuiya ya kimataifa ikalia na Raia wa USA wakalia USA akaona Hana maslahi na wanakufa Raia wengi innocent kule akawithdraw troops ili wasifutike duniani.

Nchi ambayo ilikuwa na barefooted soldier Askari waliopeku imtandike mmarekani ambae at that moment alikuwa na nukes za kutosha kibindoni. Kufikiri USA alitandikwa na Vietnam ni ujuha.

USA alimtandika manyuklia mjapan mwaka 1945 huko na dunia nzima ikafyata coz hakuna aliekuwa na nyuklia. Sasa imagine USA kapigana na MVietnam mwaka 1979 ambapo alikuwa Hadi na Nyuklia inayotisha Sasa hivi ikiitwa MOB mother of all bomb.

Eti USA alipigwaga na Somalia na Vietnam..nyie temeni mate chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
War of choice USA huwa anapigwa au hata kama akishinda ni Kwa gharama Sana na mara nying huwa anaondoa majeshi at the end sababu kuu ni kukosa mass support toka Kwa wananchi wake , Ila war of must, USA Hana mpinzan mpak sasa, support huwa ni kubwa Sana rasilimali zote za nchi huwa zinaelekezwa huko....

Sijajua hyo ya Iran ni vita ya kujitakia au ya lazima , kama ya kujitakia atahangaika Sana na kama ni ya lazima Iran atageuka majivu
Vita yoyote anaepigwa inalipwa na wewe unaepigwa. Kama Libya wanachukua mafuta kwa bei watakayo kwa iyo pesa iyo na ndio wanatumia kuwapiga wengine Kama siria na huyu Iraq na huyu irani lazima ailipe gharama ya kupigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wajua kuliko Trump, CIA na wengine ndani ya Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app

Unamwamabudu Trump unadhani anajua kila kitu, mtu aisyesikiliza ushauri hasomi zaidi ya paragraph moja akaelewa. CIA haikutaka shambulizi hilo litokeee ila yeye kwa kutaka kudeflect impeachment akaamua kufanya jambo la namna hiyo. CIA wana record za mtu huyu kwa miaka yote wala hawajahi kufanya shambulio lolote bali walikuwa wanamfuatilia tu. Kama hujui ujinga wa Trump, msikilize hapa
 
Malizia pia ni nani mwishowe aliikimbia Vietnam na kilichowapeleka wamarekani Vietnam walifanikiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakufanikiwa, lakini damage waliyopata Marekani ni ndogo sana ukilinganishwa na damage waliyopata Vietnam,
Sasa Iran aingie vitani ageuzwe kifusi hata kama atamshinda Marekani lengo lake, still yeye ndio atakuwa loser tu..
 
US aliondoa majeshi Vietnam kwa sababu Raia wa Vietnam walikuwa wanauwawa sababu walijiingiza kwenye Vita na USA akawaonjesha kidogo tu bomu la sumu wakafa Kama nzige na jumuiya ya kimataifa ikalia na Raia wa USA wakalia USA akaona Hana maslahi na wanakufa Raia wengi innocent kule akawithdraw troops ili wasifutike duniani.

Nchi ambayo ilikuwa na barefooted soldier Askari waliopeku imtandike mmarekani ambae at that moment alikuwa na nukes za kutosha kibindoni. Kufikiri USA alitandikwa na Vietnam ni ujuha.

USA alimtandika manyuklia mjapan mwaka 1945 huko na dunia nzima ikafyata coz hakuna aliekuwa na nyuklia. Sasa imagine USA kapigana na MVietnam mwaka 1979 ambapo alikuwa Hadi na Nyuklia inayotisha Sasa hivi ikiitwa MOB mother of all bomb.

Eti USA alipigwaga na Somalia na Vietnam..nyie temeni mate chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua wengi humu wanachangia kwa hisia na itikadi za Kidini ... Na watu huwa hawasomi zaidi ya kuwa rumor mongers na kuja na vitaarifa vya kwenye kahawa U.S. withdraws from Vietnam

IMG_20200106_092813.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawakufanikiwa, lakini damage waliyopata Marekani ni ndogo sana ukilinganishwa na damage waliyopata Vietnam,
Sasa Iran aingie vitani ageuzwe kifusi hata kama atamshinda Marekani lengo lake, still yeye ndio atakuwa loser tu..
Wanajeshi 58,000 wa US walikufa.

Mabilioni ya USD yalitumika kwenye hio vita,in return US ilipata nini?

Wa vietcong hawakujali suala la wao kufa na walifanikiwa kutetea taifa Lao.

Mmarekani akakimbia baada ya kuona mziki ni mnene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7800
Marekani baba lao,ikiamua kuiteketeza dunia ni dakika sembuse iran kama kamdudu fulan,ingekuwa Urus au China angalau marekani wangehaha,waulize Iroshma na Agaski kilichowakuta

Israeli tu ina uwezo wa kuwasimamisha waarabu wote Mashariki ya kati na kuwalagaza kwa kila upande,Iran yenyewe inajua kwa marekani vita ya anga na majini hawatawaweza,wana technolojia ambazo hazijawahi kuonekana mahali popote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US aliondoa majeshi Vietnam kwa sababu Raia wa Vietnam walikuwa wanauwawa sababu walijiingiza kwenye Vita na USA akawaonjesha kidogo tu bomu la sumu wakafa Kama nzige na jumuiya ya kimataifa ikalia na Raia wa USA wakalia USA akaona Hana maslahi na wanakufa Raia wengi innocent kule akawithdraw troops ili wasifutike duniani.

Nchi ambayo ilikuwa na barefooted soldier Askari waliopeku imtandike mmarekani ambae at that moment alikuwa na nukes za kutosha kibindoni. Kufikiri USA alitandikwa na Vietnam ni ujuha.

USA alimtandika manyuklia mjapan mwaka 1945 huko na dunia nzima ikafyata coz hakuna aliekuwa na nyuklia. Sasa imagine USA kapigana na MVietnam mwaka 1979 ambapo alikuwa Hadi na Nyuklia inayotisha Sasa hivi ikiitwa MOB mother of all bomb.

Eti USA alipigwaga na Somalia na Vietnam..nyie temeni mate chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jua unaongea na watu wazima lkn.

Unajua Marekani ilipoteza wanajeshi zaidi ya 58,000?

Unajua iliteketeza mabilioni ya USD?

Wa-vietcong wala wao walikua hawaogopi kufa.

US Walitumia Operation Rolling Thunder,wakaja Operations Trail Dust,wakatumia Search and destroy missions,ikaja OP Rainbow,wakatumia tena Napalm,zote zika feli wakaona wanaendelea kufa kimbwa,wakakimbia vita fasta sana.Si unajua tena US bila msaada wa mabwana zake wale wazungu wenzake hana ubavu wowte ule wa kupigana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu imetokea Iraq,nchi nyingine,siyo Tehran. Hilo wadau wanapaswa walizingatie kabla ya Ushabiki.
Sasa hata kama jamaa alikua ni Major General na ushupavu wake wote,bado ugenini ni ugenini tu. Imekua rahisi kutunguliwa. Anga la Tehran,hiyo chopa isingeweza kutia pua. Hapo Marekani anazo ground kuwa yeye anadumisha usalama hivyo huyo jamaa alikua threat, ni jibu hilo rahisi tu.
Kwa hali ya dunia sasa hakuna vita wala chochote. Waajami,watalipa kisasi inaweza kuwa Direct au indirect,ni ukweli utakua hivyo. Hata kama nini kifanyike,kila upande utapata hasara,ni suala la muda tu. Itakua ni kuleteana hasara kwa kuviziana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu watu wengine wagumu kuelewa,marekani inapigana ikiwa imeweka base yake jirani na Iran!!Iran itaumia sababu atakua anashambuliwa kutokea karibu ,ngome za kijeshi,miundo mbinu,wananchi na majengo muhimu vitaharibiwa kitu ambacho Iran hataweza kukifanya kwa marekani!!hili nalo linahitaji degree kulielewa mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wa-vietcong(vietnam) walimuonyesha mmarekani nini maana ya kuifia nchi yako.
Narudia Tena U.S.A anaenda pigana na mtu ambaye "anaamini akifia vitani anakufa kama shahdi na ataenda peponi na akishinda vita basi dola kiislam itasimama" ogopa unapigana na mtu ambaye Yuko tayali kufa wazeee wakujitoa muhanga

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom