Vida1
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 538
- 1,539
US aliondoa majeshi Vietnam kwa sababu Raia wa Vietnam walikuwa wanauwawa sababu walijiingiza kwenye Vita na USA akawaonjesha kidogo tu bomu la sumu wakafa Kama nzige na jumuiya ya kimataifa ikalia na Raia wa USA wakalia USA akaona Hana maslahi na wanakufa Raia wengi innocent kule akawithdraw troops ili wasifutike duniani.Jamaa anakuambia eti US aliondoa majeshi ili asitumie gharama sijui ujinga gani! Sasa ukishaona unapigana na unapata hasara meaning you are fighting a losing war ukakimbia si ndio umepigwa au? Maana umeona haufanikiwi unazidi ku lose resources tu.
Nchi ambayo ilikuwa na barefooted soldier Askari waliopeku imtandike mmarekani ambae at that moment alikuwa na nukes za kutosha kibindoni. Kufikiri USA alitandikwa na Vietnam ni ujuha.
USA alimtandika manyuklia mjapan mwaka 1945 huko na dunia nzima ikafyata coz hakuna aliekuwa na nyuklia. Sasa imagine USA kapigana na MVietnam mwaka 1979 ambapo alikuwa Hadi na Nyuklia inayotisha Sasa hivi ikiitwa MOB mother of all bomb.
Eti USA alipigwaga na Somalia na Vietnam..nyie temeni mate chini.
Sent using Jamii Forums mobile app