kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Makombora ya Iran yapelekwa nchini Russia kwa ajili ya kushambulia Ukraine
Iran yapeleka makombora aina ya Fateh-110 na zolfaghar.
Makombora haya yana uwezo wa kushambulia umbali wa kilometers 300 hadi kilometers 700.
Iwapo makombora haya yatatumika nchini ukraine, basi kila eneo lililopo nchini Ukraine litashambuliwa.
Wakati huo huo ukraine inashambuliwa kwa makombora kila eneo kutoka Russia.
Hali sio nzuri na raia wamekimbilia kwenye mahandaki.
Hali sio nzuri kwenye mpaka baina ya Ukraine na Belarus.
Pia jeshi la washirika belarus na Russia wataanza mashambulizi dhidi ya Ukraine.