Drone za Iran especially hizi kamikaze sio kwamba hazitunguliwi la asha... Hizi Kamikaze kwanza zinapaa karibu sana na Ardhi hivo kupelekea baadhi ya Radar kushindwa kuziona lakini kuziona kwa macho ni rahisi sana na kwa speed zake sio Kali sana hivo kua rahisi kudunguliwa na ManPad ambazo Ukraine anazo nyingi sana.. Lengo la Russia kupendelea kutumia hizi kamikaze Shaheed-131 au Geran-2 ni Uraisi wake wa kutengeneza na Cost zake kua cheap sana kuliko utakapo tumia cruise missiles,Ballistic missiles au fighter jet... Lengo kuu na ambao Mrussia ana win kwasasa ni kutumia hizi kamikaze maana bei yake wanasema haizidi $20,000 wakati cruise missiles bei yake inakaribia $5000,000 mpaka $1M... Ata interceptor missiles za air defence mfano za Patriot or MIM au hizi air defence missiles alizopewa na US,UK na Germany interceptor missile moja ina cost around $1,000,000 wakati shaheed drone moja ni $20,000 so utaona apo nani anaepata hasara? So lengo la Russia kurusha kwa wakati mmoja hizi kamikaze ni just kuzi overwhelming air defense za Ukraine na kuendelea kumpa hasara tu.. Ndo maana anarusha ata 40 ukitungua 37 unajua ni cost ngap umetumia? Na usipotungua ndo hivo zinazidi kukutia hasara ktk critical infrastructure zako... Mwisho wa siku Ukraine ataishiwa interceptor missiles then Russia aanze kutembeza kichapo kwa Fighter jets maana atakua anauhakika kua ndege zake hazitatunguliwa! So Iran made drone zitaendelea kusumbua maana hizi ni suicide yani one mission tofauti na drone ambazo zinabeba missile na zinapaswa kurudi ktk air bases ikitunguliwa ni hasara maana ni complex machine + missiles inazokua imebeba that's why saivi huzioni Turkish made drone Bayaktar maana zilishadunguliwa na process ya kutengeneza inachukua muda ila hizi Shaheed hazina Camera zinatumia mionzi tu then operators anazidondosha kwenye targets... Hivo tutegemee Shaheed kusumbua sana ndomaana unaona US anapiga kelele na Leo Bunge la Ulaya linataka kuiwekea Iran Vikwazo zaidi kiss hizi drone maana ata msaada wanaompa Ukraine utaisha mapema