Iran yapeleka makombora hatari ya Fateh nchini Urusi

watu wanajadili vita kishabiki kama mechi ya mpira akili za ziko matakuni
 
Vita ya tatunya ulaya huko. Unapisema dunia unamaanisha nini

Ifikie hatua waafrika tuachane na mambo yasiyo tuhusu
Mkuu nadhani hata historia ya Olevel kuhusu Major conflicts in the world hauna therefore sishangai kwanini hujui nini maana ya vita vya dunia. So SAD kutojua AFRICA itahusika vipi kwenye vita vya dunia!
Wakumsaidia huyu mtu tafadhali
 
Ndo maana huwa nashangaa sana watu wanavyo kuwa mashabiki wa hii vita as if ni mpira. Hakuna atakaye baki salama,pale ambapo Nuclear weapons zitatumika na kuingia kwenye vita kamili ya dunia..Najua hata wananchi wa Urusi wenyewe watamlaani sana Putin.
 
Mbona leo zimetunguliwa 37 kati ya 43 zilizorushwa inamaana zilizopenya ni 6 tu sasa Defence iko vizuri 90% zimekaangwaView attachment 2390171View attachment 2390172
Drone za Iran especially hizi kamikaze sio kwamba hazitunguliwi la asha... Hizi Kamikaze kwanza zinapaa karibu sana na Ardhi hivo kupelekea baadhi ya Radar kushindwa kuziona lakini kuziona kwa macho ni rahisi sana na kwa speed zake sio Kali sana hivo kua rahisi kudunguliwa na ManPad ambazo Ukraine anazo nyingi sana.. Lengo la Russia kupendelea kutumia hizi kamikaze Shaheed-131 au Geran-2 ni Uraisi wake wa kutengeneza na Cost zake kua cheap sana kuliko utakapo tumia cruise missiles,Ballistic missiles au fighter jet... Lengo kuu na ambao Mrussia ana win kwasasa ni kutumia hizi kamikaze maana bei yake wanasema haizidi $20,000 wakati cruise missiles bei yake inakaribia $5000,000 mpaka $1M... Ata interceptor missiles za air defence mfano za Patriot or MIM au hizi air defence missiles alizopewa na US,UK na Germany interceptor missile moja ina cost around $1,000,000 wakati shaheed drone moja ni $20,000 so utaona apo nani anaepata hasara? So lengo la Russia kurusha kwa wakati mmoja hizi kamikaze ni just kuzi overwhelming air defense za Ukraine na kuendelea kumpa hasara tu.. Ndo maana anarusha ata 40 ukitungua 37 unajua ni cost ngap umetumia? Na usipotungua ndo hivo zinazidi kukutia hasara ktk critical infrastructure zako... Mwisho wa siku Ukraine ataishiwa interceptor missiles then Russia aanze kutembeza kichapo kwa Fighter jets maana atakua anauhakika kua ndege zake hazitatunguliwa! So Iran made drone zitaendelea kusumbua maana hizi ni suicide yani one mission tofauti na drone ambazo zinabeba missile na zinapaswa kurudi ktk air bases ikitunguliwa ni hasara maana ni complex machine + missiles inazokua imebeba that's why saivi huzioni Turkish made drone Bayaktar maana zilishadunguliwa na process ya kutengeneza inachukua muda ila hizi Shaheed hazina Camera zinatumia mionzi tu then operators anazidondosha kwenye targets... Hivo tutegemee Shaheed kusumbua sana ndomaana unaona US anapiga kelele na Leo Bunge la Ulaya linataka kuiwekea Iran Vikwazo zaidi kiss hizi drone maana ata msaada wanaompa Ukraine utaisha mapema
 
Umeelez vzr

Mpaka sasa dunia haina technology ya kucontaina madhara yanayoweza kusababishwa na nuclear thermowaves ndiomana wataendelea kupigana kwa CONVENTIONAL WEAPONS mpaka. Atakayeanza kutumia siraha ya nuclear atakuwa ameamua "WOTE TUANGAMIE" due to Recipracal effect na ASSURED MUTUAL DESTRACTION PACT waliyoingia mataifa yanayomiliki siraha hizi especially RUSSIA & USA with their associates.
HAKUNA ATAKAYEBAKI JUU YA ARDHI YA SAYARI HII SALAMA, labda kwa wale watakaowah kuingia kwenye bunkers na kukaa muda mrefu mpaka pale mionzi ya nuclear itakapokuwa neutralized. Mpaka hapo LIFE WONT BE THE SAME AGAIN TRUST ME.
 
Unasemaje hawawezi wakati mpaka sasa wao ndio wanaotoa siraha na mafunzo kwa askari wa Ukraine? Unazifahamu stages za vita mkuu? Ndiomana mwanzo Urusi hakuiita vita bali ni OPERATION which means ataingia maeneo yenye migogoro tu kuhakikisha kuna amani. Sasa kitendo cha kushambulia Kiev eneo ambalo halina mgogoro nikutoka nje ya lengo la operation. Na hapo ndipo nchi marafiki zikaanza kutoa misaada. Juzi juzi ameshamburia maeneo mbalimbali ya Ukraine akijibu mapigo /retaliate kwa kitendo alichokiita ni SHAMBULIO LA KIGAIDI juu ya daraja la Crimea ambapo kivita ni sahihi bila kuvunja sheria za kivita, kosa ni makombora mengine kutua maeneo ya raia.
Kitendo cha Iran kupeleka long range missiles Urusi na yakaanza kutumika, itakuwa it's a GO kwa NATO na nchi marafiki kumsaidia Ukraine with the same missiles na hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itakapokuwa imeanza rasmi na kuwepo kwa tishio la nuclear war
Kwa hiyo mataifa zaidi ya 30 yameungana kujilinda dhidi ya urusi?
 
Nadhani hata yeye inabid pia ajiulize, otherwise hizo nuclear weapons awe nazo peke yake.
Duniani hakuna taifa lenye weapons nyingi za nuklia kama Urusi na hii ndio sababu kuu NATO iliundwa, baada ya Urusi anafwata USA. Na ndio maana ukiona sehem mrusi yupo basi USA anakaa kwa machale and vice versa! Siku haya mataifa mawili yakiamua kutumia hizo silaha zao tutakao soma namba za kirumi ni sisi ulimwengu wa tatu.
 
Who is Russia? Kwamba yeye anaruhusiwa kupokea makombora kutoka Iran na kuwapigia wengine,but vice versa is not true?
Jiulize kwanini NATO hawataki kumpa ukraine hayo makombora? Na kwann silaha anazo pewa ukraine anaambiwa haruhusiwi kuishambulia ardhi ya urusi?
 
Ndo maana huwa nashangaa sana watu wanavyo kuwa mashabiki wa hii vita as if ni mpira. Hakuna atakaye baki salama,pale ambapo Nuclear weapons zitatumika na kuingia kwenye vita kamili ya dunia..Najua hata wananchi wa Urusi wenyewe watamlaani sana Putin.
Kama wananchi wa EU wanavyo laani viongozi wao.

NB: Embu jiulize source ya hayi yoote ni nani kama sio USA?
 
Hawa watu wafikie hatua wamalize hii vita,ili dunia iendelee kuwa salama.
Source ya haya yote ni USA na zelesky! Kuna makubaliano waliingia ukraine kuto jiunga na NATO na makubaliano mengine ni NATO kuto expand east wards, sasa mikataba yote hiyo inavunjwa na kiusalama mrusi hawezi kaa kimya kuona NATO anamfwata mlangoni pake!

Na tunapo enda wenda hali itakua mbaya zaidi maana kuna uwezekano full scale war ikatokea!

Kama una muda angalia hii video:
 
Back
Top Bottom