Unasemaje hawawezi wakati mpaka sasa wao ndio wanaotoa siraha na mafunzo kwa askari wa Ukraine? Unazifahamu stages za vita mkuu? Ndiomana mwanzo Urusi hakuiita vita bali ni OPERATION which means ataingia maeneo yenye migogoro tu kuhakikisha kuna amani. Sasa kitendo cha kushambulia Kiev eneo ambalo halina mgogoro nikutoka nje ya lengo la operation. Na hapo ndipo nchi marafiki zikaanza kutoa misaada. Juzi juzi ameshamburia maeneo mbalimbali ya Ukraine akijibu mapigo /retaliate kwa kitendo alichokiita ni SHAMBULIO LA KIGAIDI juu ya daraja la Crimea ambapo kivita ni sahihi bila kuvunja sheria za kivita, kosa ni makombora mengine kutua maeneo ya raia.
Kitendo cha Iran kupeleka long range missiles Urusi na yakaanza kutumika, itakuwa it's a GO kwa NATO na nchi marafiki kumsaidia Ukraine with the same missiles na hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itakapokuwa imeanza rasmi na kuwepo kwa tishio la nuclear war