Iran live longer 🙏🙏MAKOMBORA YA IRAN YAPELEKWA NCHINI RUSSIA KWA AJILI YA KUSHAMBULIA UKRAINE
IRAN YAPELEKA MAKOMBORA AINA YA FATEH-110 NA ZOLFAGHAR.
MAKOMBORA HAYA YANA UWEZO WA KUSHAMBULIA UMBALI WA KILOMETERS 300 HADI KILOMETERS 700.
IWAPO MAKOMBORA HAYA YATATUMIKA NCHINI UKRAINE, BASI KILA ENEO LILILOPO NCHINI UKRAINE LITASHAMBULIWA
WAKATI HUO HUO UKRAINE INASHAMBULIWA KWA MAKOMBORA KILA ENEO KUTOKA RUSSIA.
HALI SIO NZURI NA RAIA WAMEKIMBILIA KWENYE MAHANDAKI
HALI SIO NZURI KWENYE MPAKA BAINA YA UKRAINE NA BELARUS.
PIA JESHI LA WASHIRIKA BELARUS NA RUSSIA WATAANZA MASHAMBULIZI DHIDI YA UKRAINE.View attachment 2389464
Taifa teule kwenu brainwashedKama taifa teule watatia mguu wao sijui
Hii ni mijitu mipumbavu kabisa inayodhani Israel ni taifa teule, huko kwenye vikoba vyenu ndio mnafundishana upuuzi huo.Taifa teule kwenu brainwashed
Teh tteh eti taifa teuleHii ni mijitu mipumbavu kabisa inayodhani Israel ni taifa teule, huko kwenye vikoba vyenu ndio mnafundishana upuuzi huo
Nyie misikitini mnafundishana nini?Hii ni mijitu mipumbavu kabisa inayodhani Israel ni taifa teule, huko kwenye vikoba vyenu ndio mnafundishana upuuzi huo
kumuabudu Allah na ni mmoja na Muhamad ni mtume wake. Tuwapende binaadam wenzetu, tuwape amani.Nyie misikitini mnafundishana nini?
Kwi kwi umevaa kipedo chako na kobadhi unakuja kujamba jamba humuTaifa teule kwenu brainwashed
Hakuna kitu kama hicho. Wameshindwa magaidi wa esborah,na Waparestina, wataiweza Urusi? Maana Sasa Nato plus, wako paleKama taifa teule watatia mguu wao sijui