Iran yapeleka makombora hatari ya Fateh nchini Urusi

NATO hawatapeleka hawewezi Vita na urusi.
Unasemaje hawawezi wakati mpaka sasa wao ndio wanaotoa siraha na mafunzo kwa askari wa Ukraine? Unazifahamu stages za vita mkuu? Ndiomana mwanzo Urusi hakuiita vita bali ni OPERATION which means ataingia maeneo yenye migogoro tu kuhakikisha kuna amani. Sasa kitendo cha kushambulia Kiev eneo ambalo halina mgogoro nikutoka nje ya lengo la operation. Na hapo ndipo nchi marafiki zikaanza kutoa misaada. Juzi juzi ameshamburia maeneo mbalimbali ya Ukraine akijibu mapigo /retaliate kwa kitendo alichokiita ni SHAMBULIO LA KIGAIDI juu ya daraja la Crimea ambapo kivita ni sahihi bila kuvunja sheria za kivita, kosa ni makombora mengine kutua maeneo ya raia.
Kitendo cha Iran kupeleka long range missiles Urusi na yakaanza kutumika, itakuwa it's a GO kwa NATO na nchi marafiki kumsaidia Ukraine with the same missiles na hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itakapokuwa imeanza rasmi na kuwepo kwa tishio la nuclear war
 
Kama wanaweza kwanini wasiingie moja Kwa moja wao kama NATO?Wanaogopa kila siku wanasema hawawataki Russia USO Kwa USO.
 
Wewe unafaidika vipi wenzako wakipigwa/pigana na kuuawa/kuuana?
 
Mkuu,naomba kuuliza..hivi Ukraine yeye haruhusiwa kupiga makombora ya mbali kuelekea Urusi? Kama afanyavyo Putin.Badala ya yeye kujilinda tu ndani. Ama hyo time bado
 
Inachofanya Iran sio uislamu,huko ni kuchochea Vita.
MK254
 
Mkuu,naomba kuuliza..hivi Ukraine yeye haruhusiwa kupiga makombora ya mbali kuelekea Urusi? Kama afanyavyo Putin.Badala ya yeye kujilinda tu ndani. Ama hyo time bado
Hana hayo makombora na atakaye mpa makombora ya masafa marefu atakua kajiingiza kwenye target za Russia
 
Hana hayo makombora na atakaye mpa makombora ya masafa marefu atakua kajiingiza kwenye target za Russia
Who is Russia? Kwamba yeye anaruhusiwa kupokea makombora kutoka Iran na kuwapigia wengine,but vice versa is not true?
 
Hii itamfanya israel awe upande wa ukraine ,hii ngoma putin kalikanyaga mda utasema tuu
 
Anguko la urusi limefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…