uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Muda utaongea,kupigwa kibao na mkeo hata kama akukuweka ngeo haimaanishi amekushinda nguvu.Hakuna kitu kama hicho. Wameshindwa magaidi wa esborah,na Waparestina, wataiweza Urusi? Maana Sasa Nato plus, wako pale
Is the mother russia mkuuWho is Russia? Kwamba yeye anaruhusiwa kupokea makombora kutoka Iran na kuwapigia wengine,but vice versa is not true?
Mkuu natambua kuwa unafahamu kuwa Iran na Israel ni maadui sana, hivyo nadhani Israel Kutamani kuingia huko ni kwenda na yeye akapate mifumo ya silaha za Iran ili azielewe na kuzitafutia ufumbuzi/ namna ya deal nazo, maana ukiwemo kwenye mzozo ni rahisi kuelewa/kuusoma mchezo.Iran naye muda si mrefu nchini kwake moto unawaka wa vita
Hayo makombora hana kwa sasa, ila muda si mrefu atayapata toka kwa nchi marafiki. Na ndo nikasema atakapoyapata na kuyatumia muelekeo wa Operation utabadirika na kuwa vita kamili kwa upande wa Urusi, na hapo ndipo dunia haipaswi kufikia maana matumizi ya nuclear hayataepukika.Mkuu,naomba kuuliza..hivi Ukraine yeye haruhusiwa kupiga makombora ya mbali kuelekea Urusi? Kama afanyavyo Putin.Badala ya yeye kujilinda tu ndani. Ama hyo time bado
Vita ya tatunya ulaya huko. Unapisema dunia unamaanisha niniHayo makombora yakifika mpakani mwa Ukraine na Urusi NATO nao hawatasita kupereka makombora ya long range missile Ukraine. Vita vya tatu vya dunia vitakuwa vimeanza rasmi
Unafaa kuuguza mgonjwa,una lugha fulani ya kufariji na kujipa matumaini hewa.Hii itamfanya israel awe upande wa ukraine ,hii ngoma putin kalikanyaga mda utasema tuu
Alisikika mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Sitimbi.Anguko la urusi limefika.
Source waukraine wenyewe ulitegemea waseme ukweli?Mbona leo zimetunguliwa 37 kati ya 43 zilizorushwa inamaana zilizopenya ni 6 tu sasa Defence iko vizuri 90% zimekaangwaView attachment 2390171View attachment 2390172
Unajifarij usijitoe ufahamu mpaka super power anafanya mobilization kuna ishu hazikosawaUnafaa kuuguza mgonjwa,una lugha fulani ya kufariji na kujipa matumaini hewa.
Angalia kilichowakuta baada ya kulipua daraja la crimea leo kombola litue moscow kiev itakuwa kama fataki za mwaka mpyaMkuu,naomba kuuliza..hivi Ukraine yeye haruhusiwa kupiga makombora ya mbali kuelekea Urusi? Kama afanyavyo Putin.Badala ya yeye kujilinda tu ndani. Ama hyo time bado
Just like usa anavokataza nchi nyingine kumiliki silaha za nuclearWho is Russia? Kwamba yeye anaruhusiwa kupokea makombora kutoka Iran na kuwapigia wengine,but vice versa is not true?
Kwa kweli ni upumbavu mno watu wamelishwaHii ni mijitu mipumbavu kabisa inayodhani Israel ni taifa teule, huko kwenye vikoba vyenu ndio mnafundishana upuuzi huo.
Ampe tu tufike WashingtonAissee hizi shaheed 136 za Iran zinatusumbua sana...
Ni wakati wa Marekani kumpa Ukraine makombora ya masafa marefu
Mbona tokea mwanza alipiga sehemu mbalimbali tofauti ns maeneo yenye mgogoro? Nato ya mashoga 30 unadhani hawaijui urusiUnasemaje hawawezi wakati mpaka sasa wao ndio wanaotoa siraha na mafunzo kwa askari wa Ukraine? Unazifahamu stages za vita mkuu? Ndiomana mwanzo Urusi hakuiita vita bali ni OPERATION which means ataingia maeneo yenye migogoro tu kuhakikisha kuna amani. Sasa kitendo cha kushambulia Kiev eneo ambalo halina mgogoro nikutoka nje ya lengo la operation. Na hapo ndipo nchi marafiki zikaanza kutoa misaada. Juzi juzi ameshamburia maeneo mbalimbali ya Ukraine akijibu mapigo /retaliate kwa kitendo alichokiita ni SHAMBULIO LA KIGAIDI juu ya daraja la Crimea ambapo kivita ni sahihi bila kuvunja sheria za kivita, kosa ni makombora mengine kutua maeneo ya raia.
Kitendo cha Iran kupeleka long range missiles Urusi na yakaanza kutumika, itakuwa it's a GO kwa NATO na nchi marafiki kumsaidia Ukraine with the same missiles na hapo ndipo vita ya tatu ya dunia itakapokuwa imeanza rasmi na kuwepo kwa tishio la nuclear war