Iran yapeleka makombora hatari ya Fateh nchini Urusi

Mkuu nadhani hata historia ya Olevel kuhusu Major conflicts in the world hauna therefore sishangai kwanini hujui nini maana ya vita vya dunia. So SAD kutojua AFRICA itahusika vipi kwenye vita vya dunia!
Wakumsaidia huyu mtu tafadhali
Wapigane wao uhusishe dunia? Hiyo historia unayo isema ndio hiyohiyo haioneshi ni namna gani watu hawa walishiriki vita ya kwanza na ya pili.
sentineles (sijui hata kama unajua wanapatikana wapi)
 
Wataenda wenyewe hao ngozi za nguruwe , kwanza acha wamalizane tu sie tutaendelea na yetu
 
Nadhani hata yeye inabid pia ajiulize, otherwise hizo nuclear weapons awe nazo peke yake.
RUSSIA hana lakujiuliza MKUU hakuna na haitokuja kutokea siku UKRAINE ikashambulia MOSCOW pale peters

Na kama itatokea kashambuliwa atanyooshwa na hakuna atakaeingilia kubwa wataweka vikwazo tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@T14 Armata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo ambayo mpaka sasa Russia yanamtia wazimu juu ya nuclear. Anajua fika akitumia Nuclear tu, basi naye atajibiwa kwa namna hiyohiyo, US alimuonya akiivamia Ukraine basi bomba la mafuta litaharibiwa, na ni kweli US amefanya hivyo.

UK na US wamemwambia Russia, akitumia Nuclear, ategemee majanga zaidi kwake, hii pia inatupa picha kamili kuwa kabla yeye Russia hajajiandaa na nuclear, wenzake walishajiandaa before.

US yupo distance kutoka Russia, US ana allies kadhaa jirani na Russia, sidhani kama mpaka sasa hajaweka nuclear huko.

Kubwa zaidi ni kuwa, CIA inajua kila hatua ambayo Russia inapiga, kabla ya russia kuanza hii op CIA ikatoa taarifa kuwa russia itavamia ukraine.

Bado naona hakuna urahisi wa Russia kutumia nuclear, kwa hapa walipofikia hata jeshi lake linatamani hii vita iisje tu basi. Sio rahisi wamruhusu putin atumie nuclear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…