Still uwepo wake pale ungeleta tishio tu.Actualy si majeshi full, ana vikosi vichache sana, lakini pia wako iraq kwa kazi nyingine kwa makubaliano na serikali ya iraq
Unadhani uwepo wake pale ata stick kwenye makubaliano yake na Iraq peke yake!??
Pia ana vikosi Syria pia.