Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu

Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
 

Attachments

  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    169.7 KB · Views: 24
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    169.7 KB · Views: 28
Hii itasaidia kitu gani Kwa Iran? Unapiga majengo alafu unaona ndiyo mafanikio watanzania yupo nyuma Sana kwenye eilmu
 
Back
Top Bottom