Pearce JF-Expert Member Joined Dec 15, 2018 Posts 732 Reaction score 1,746 Jun 22, 2025 #1 Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery Attachments downloadfile.png 169.7 KB · Views: 24 downloadfile.png 169.7 KB · Views: 28
Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
M Mwalihehe JF-Expert Member Joined Mar 11, 2023 Posts 792 Reaction score 1,319 Jun 22, 2025 #2 Iran hajnauwezo wa kustahimili mikiki hii Kwa muda mrefu
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Jun 22, 2025 #3 Hamas Kwasasa wanarusha mawe Tu na manati hata Huko Iran watafikia kipindi watabaki na bastola tu
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,264 Reaction score 2,910 Jun 22, 2025 #5 PureView zeiss said: Hamas Kwasasa wanarusha mawe Tu na manati hata Huko Iran watafikia kipindi watabaki na bastola tu Click to expand... Attachments 6105873-2b085f70b8ecbd1a83eccfaaa6d27f8.mp4 1.5 MB
PureView zeiss said: Hamas Kwasasa wanarusha mawe Tu na manati hata Huko Iran watafikia kipindi watabaki na bastola tu Click to expand...
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Jun 22, 2025 #6 Hii itasaidia kitu gani Kwa Iran? Unapiga majengo alafu unaona ndiyo mafanikio watanzania yupo nyuma Sana kwenye eilmu
Hii itasaidia kitu gani Kwa Iran? Unapiga majengo alafu unaona ndiyo mafanikio watanzania yupo nyuma Sana kwenye eilmu
Avicii Senior Member Joined Sep 16, 2023 Posts 107 Reaction score 182 Jun 22, 2025 #7 PureView zeiss said: Hamas Kwasasa wanarusha mawe Tu na manati hata Huko Iran watafikia kipindi watabaki na bastola tu Click to expand... Daah sema wayahudi jau
PureView zeiss said: Hamas Kwasasa wanarusha mawe Tu na manati hata Huko Iran watafikia kipindi watabaki na bastola tu Click to expand... Daah sema wayahudi jau