Iran na hizo manati zake zinashindwa ua hata mende hapo Israel tena basi manati zenywewe za kusaidiwa na n.korea, russia na china aisee muajemi buree kabisaaaNi kweli wenda taarifa za kijasusi zilikuwa zimesha vuja juu ya shambulizi hili ndo maana Netanyau alikuwa anatoa vitisho ili viongozi wa Iran wasite ila inavyo onekana viongozi wa Iran wamefika kiwango cha mwisho cha uvumilivu hivyo wameamua liwalo na liwe.
kwamba wewe unafahamu zaidi yao tulia ngoma ipigweIran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.
Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.
Acha hizo wewe Israel lazima ajibu tena usiku huu huuUshauri wangu Israel asijibu kwa pupa moto utawaka vita ya dunia
ni upuuzi. shia (Iran) wameleta shida. isingelikua itikadi zao za kijinga wangelikua wayahudi na wapalestina wanaishi mpaka sasa kwa amani na kusaidiana.Ijapokuwa naandika kama kiushabiki kiukweli nahofia sijui hata dunia wapi inaelekea!
Sasa hapo yamelipua nini?
Muachen ajibu, lakini ajue houth,Hamas, Hezbollah, Kurds watamvamia kila pande.Ushauri wangu Israel asijibu kwa pupa moto utawaka vita ya dunia
"Shah Mat"? NopeKuna moja limetua, lazima limeua.
Iran kaingia kwenye mfumo.
Usije kulia lia tuNetanyahu alikuwa anajua kuwa Iran wanatania sasa game ipigwe😀
Ayatollah must go sio hiari must go na like kilemba lakeHilo ndo Israel alitaka litokee ili asialamiwe, anafanya yake kisha anawaachia wananchi wa Iran wafanye yao.
Jana katoa meseji