Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Ni kweli wenda taarifa za kijasusi zilikuwa zimesha vuja juu ya shambulizi hili ndo maana Netanyau alikuwa anatoa vitisho ili viongozi wa Iran wasite ila inavyo onekana viongozi wa Iran wamefika kiwango cha mwisho cha uvumilivu hivyo wameamua liwalo na liwe.
Iran na hizo manati zake zinashindwa ua hata mende hapo Israel tena basi manati zenywewe za kusaidiwa na n.korea, russia na china aisee muajemi buree kabisaaa
 
Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.
kwamba wewe unafahamu zaidi yao tulia ngoma ipigwe
 
Iran kafanya kosa kubwa sana. Sasa karuhusu America ampige, ametafutwa muda mrefu sana. Hajuhi Natenyahu alikuwa USA juzi na hii mipango ya Natenyahu kuhutubia raia wa Iran imepangwa. Si kila mwanajeshi aliyevaa combat ya Israel ni Mu-israel, wengine ni kutoka US Army. Iran kaingia kizembe kwa kujitutumua.

Americca anaangali pa kupiga wewe.

Iran kaonyesha ubabe kuwa ana uweo wa kukatia kiberiti hako ka nchi ka Israel na ana uwezo wa kutia moto visima vyote vya mafuta vya nchi vibaraka wa USA na assets za USA huko middle east.

USA huwa haingii kichwakichwa kwa nchi zenye nguvu
 
Hilo ndo Israel alitaka litokee ili asialamiwe, anafanya yake kisha anawaachia wananchi wa Iran wafanye yao.
Jana katoa meseji
 
Ijapokuwa naandika kama kiushabiki kiukweli nahofia sijui hata dunia wapi inaelekea!
ni upuuzi. shia (Iran) wameleta shida. isingelikua itikadi zao za kijinga wangelikua wayahudi na wapalestina wanaishi mpaka sasa kwa amani na kusaidiana.
 
Kidume anapambana na mataifa 4 kwa wakati mmoja ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran pamoja na wavamizi wa Palestina.

GOD BLESS ISRAEL
 
Kuna moja limetua, lazima limeua.
Iran kaingia kwenye mfumo.
"Shah Mat"? Nope

Checkmate? Yep

Nafungua kopo la pili la Mahindi milipuko.

Fireworks display in Tel Aviv and Jerusalemu? A real Movie. Sic
 
Awajapangua ata moja anapigwa km gaza alivopiga awana uwezo w kuzuiya ata USA kashindwa vitu vinatua live lkn wairan wastaharabu sana wanapiga military taget tu. Km wao wanapenda sifa wangeanza kuuwa watu.
 
Back
Top Bottom