Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Americca anaangali pa kupiga wewe.

Iran kaonyesha ubabe kuwa ana uweo wa kukatia kiberiti hako ka nchi ka Israel na ana uwezo wa kutia moto visima vyote vya mafuta vya nchi vibaraka wa USA na assets za USA huko middle east.

USA huwa haingii kichwakichwa kwa nchi zenye nguvu
USA mnafiki ndio maana Kuna baadhi ya operation IDF Huwa wanafanya bila kuwashirikisha.

Ila Iran anafurahisha sana namfananisha na jamaa anayempanga demu mda mrefu kwamba wakikutana atamuonyesha shoo ya kibabe siku ya kukutana akitia mashine ndani ya papuchi tu Wazungu hao na show inaishia hapo Bure kabisa .
 
Utashangaa hakuna atakayedhurika na hayo mabomu, ila wenzao akina Yahood wakiachia bunker buster 90 hata Ayatollah mfupa wake hautaonekana milele.
na wewe unaamini hii Leo Kuna jamaa wawili wamejitolea wameuwa watu zaidi ya kumi ipo Aljazeera pia,..vita sio vizuri bro uvisikie tu na unashangilia hapa waislaam wanakufa mahasimu zako,watu pandezote wanapoteza wapendwa wao.
 
Military correspondent of the Hebrew Channel 13: Iran fired its missiles at military bases and did not direct them at the civilian population.
 
Kimzaa mzaa mashariki ya kati kunaenda kulipuka vita ambavyo havijawahi kushuhudiwa katika historia.
Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.

Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.

Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.

T14 Armata
 
Kwa makombora aliyopiga Iran ni tishio hilo!

Air defence system za Israel hazijafanya kazi kabisa!

Akijibu kazi anayo kwa kweli.
Israel ni mkorofi na huwa anatafuta sababu ili akubonde vizuri. Irani nae si wa mchezo mchezo sasa hapo tutegemee balaa zito. Tusiiombee hii itokee ni mbaya sana.
 
Watu wanashangilia hichi kinachotokea, lakini madhara ya kilichofanyika leo yatakuwa makubwa sana kama Israel watajibu. Kitu ambacho kwa asilimia kubwa watafanya hivyo.

Kitu pekee kinachofanywa na Israel ni kuchanga karata kabla ya kurudisha majibu. Attacks za April tumeona matokeo yake siku za hivi karibuni.

Wanaoteseka ni raia wa kawaida kwa kiasi kikubwa. Iran kwa sasa inapitia changamoto zake nyingi tu pia, ikisema iingie kwenye vita vya moja kwa moja, wanaweza pata changamoto kuja kunyanyuka tena kiuchumi.

Tuombe haya mambo yatulie na resolutions zifanyike hapo mashariki ya kati.
 
Back
Top Bottom