MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu, sipati picha hiyo retaliation yake, Myahudi ameguswa, na sasa atanuka.Duh! Taarifa zinasema makombora yanatua ndani ya Israel na kwamba iron dome imeelemewa.
Hahahaa shit about to get real.
Walimtafuta na amejaa, ndiyo maana Netanyahu alitoa speech ya kuwaandaa wananchi wa Iran kwa yajayo.Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.
Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.
Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.
T14 Armata
Fuatilia breaking news hapo BBCHakuna kitu cha maana
Jews wakiamua kufanya counter attact utasikia NUCLEAR SPECIALISTS WA IRAN walikuwa wanakula birian ya ngamia wakawa food poisoned kwa CYANIDE au MAKAMANDA WA JESHI LA IRAN wamekunywa maji yenye BOTOX.Ushauri wangu Israel asijibu kwa pupa moto utawaka vita ya dunia
Hizo ni maalumu kwa ajili ya kuharibu viwanja vya kijeshi usidhani wamezilusha kwa bahati mbaya.Hizo kombora ni kama hazina uzito Sina uhakika kama zinaweza Pasua flow Moja ya gorofa
Israel siyo ya kutishiwa kijinga hivyo?Fuatilia breaking news hapo BBC
Refer kauli ya ahmednejad kuhusu shirika lao la ujasusiJews wakiamua kufanya counter attact utasikia NUCLEAR SPECIALISTS WA IRAN walikuwa wanakula birian ya ngamia wakawa food poisoned kwa CYANIDE au MAKAMANDA WA JESHI LA IRAN wamekunywa maji yenye BOTOX.
Myahood huwa anapiga counter attack kiasi adui anajiuliza imekuwaje ni ajali au ni Planned mission?????
Na hiyo ndo akili we tulia tu utasikia pampaz alovaa hayotolah yalipukaJews wakiamua kufanya counter attact utasikia NUCLEAR SPECIALISTS WA IRAN walikuwa wanakula birian ya ngamia wakawa food poisoned kwa CYANIDE au MAKAMANDA WA JESHI LA IRAN wamekunywa maji yenye BOTOX.
Myahood huwa anapiga counter attack kiasi adui anajiuliza imekuwaje ni ajali au ni Planned mission?????
Issiles inawanyeshea mazayuni huko, huamini? Jionee 👇🏾Wewe lizee kwa nini unakuwa mshabiki wa hivi vita namna hii?? Una enjoy amani ya Tanzania lakini unataka binadamu wenzako wataabike huko mashariki ya kati