ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ni kweli lakini jinsi mifumo ya ulinzi ya Israel ilivyo zidiwa leo inaonesha kumbe Iran inaweza kuidhuru vibaya sana Israel iwapo vita kamili itatokea.Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.
Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.
Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.
T14 Armata