Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

Hatari sana huu mzozo ulipofikia, hili litamfaidisha Natenyau kama atafanikiwa kuiingiza vitani Marekani dhidi ya Iran.

Naona safari hii wamerusha ballistic missiles.

Iran ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha Hezbollah haisambaratishwi kama Hamas.

T14 Armata
Ni kweli lakini jinsi mifumo ya ulinzi ya Israel ilivyo zidiwa leo inaonesha kumbe Iran inaweza kuidhuru vibaya sana Israel iwapo vita kamili itatokea.
 
Hatimae Iran imeipiga tena Israel kwa makombora zaidi ya 200 yakitokea kwenye miji tofauti nchini Iran ,huku yakisafiri kwa zaidi ya 2000km ndani ya dakika 25.

Iran imetoa onyo kwa utawala wa kizayuni kushambulia zaidi endapo itahibiti kujibu , mashambulizi haya ya Iran imesema ni jibu kw Israel dhidi ya kuvunja sheria za Iran na mamlaka yake ikiwemo kufanya mashambulizi ndani ya Iran ama raia wa Iran na miundo mbinu yake!!
Screenshot_20241001-205939.png
Screenshot_20241001-205939.png
Moja wapo ya maeneo yaliyoshambuliwa ni hifadhi za gesi,zikiwa kwenye mlipuko wa makombora
20241001_211044.jpg
20241001_211044.jpg
 
Ni kweli lakini jinsi mifumo ya ulinzi ya Israel ilivyo zidiwa leo inaonesha kumbe Iran inaweza kuidhuru vibaya sana Israel iwapo vita kamili itatokea.
Yeah!...kwani Kuna makombora yaliyopenya hizo ADs?.

Ila ikitokea vita kamili kwa Idadi ya makombora aliyonayo Iran, Israel atakuwa na wakati mgumu kuyazuia yote kwa idadi kubwa japo pia Iran itaharibiwa zaidi na mashambulizi kutoka Israel na Marekani.
 
Hatimae Iran imeipiga tena Israel kwa makombora zaidi ya 200 yakitokea kwenye miji tofauti nchini Iran ,huku yakisafiri kwa zaidi ya 2000km ndani ya dakika 25.

Iran imetoa onyo kwa utawala wa kizayuni kushambulia zaidi endapo itahibiti kujibu , mashambulizi haya ya Iran imesema ni jibu kw Israel dhidi ya kuvunja sheria za Iran na mamlaka yake ikiwemo kufanya mashambulizi ndani ya Iran ama raia wa Iran na miundo mbinu yake!!View attachment 3112490View attachment 3112490
Hii ngoma ndo imeanza. natazama aljazeera hapa muisrael mmoja anasema bwana nyau atakuwa kafurahi sana maana anachojua alikuwa anatafuta sababu ya kuishambulia iran moja kwa moja. Hata mimi nawaza hivi hivi maana kwanini alitoa ile hotuba ya kudai kwamba soon iran itakuwa free.
 
Awajapangua ata moja anapigwa km gaza alivopiga awana uwezo w kuzuiya ata USA kashindwa vitu vinatua live lkn wairan wastaharabu sana wanapiga military taget tu. Km wao wanapenda sifa wangeanza kuuwa watu.
Military target ngapi zimepigwa zaidi ya negev airbase ambayo ilipigwa pia april na open space 🤣🤣
 
Back
Top Bottom